Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,262
- 24,672
Umri wao na kupumzikaWamalizie Nini?
Umri wao na kupumzikaWamalizie Nini?
Board chair ni sawa kupewa hao busara za uongozi na sio watendaji zaidi.....pia wako free hakuna mgongano maslahi sababu was wastaafu...Hao wamesha kula sana keki ya taifa ingefaa sasa wakae pembeni wafaidi pensheni zao.
Posho posho taratibu sana vikao mara 4 mwaka.....Habari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake .
Kuwa mwenyekiti wa Bodi lazima uwe ume excel kama CEO wa shirika. Hivyo ni lazima uwe na uzoefu wa uongozi katika kuongoza taasisi, kampuni au shirika. Ili uweze kuwa mentor wa huyo CEO unayemsimamia katika vikao vya Bodi, uwe na added advantage. Huwezi kuwa mtu kama Mmawia ambaye hata hajawahi kuwa meneja halafu leo ateuliwe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ati kwa vile ni Chadema. Nadhani hapo hata Erythrocyte amejifunza kitu. Si kila kitu ili mradi hapa JF wote ni michadema na kila mtu anacomment kitu hajui.kwahiyo wewe unataka kutuambia uzoefu wa uongozi unaambatana na uzee?Huyo anapeleka uzoefu gani Tipoer kwenye mambo ambayo kwa asilimia nyingi hayajui?
Thanks, hawa michadema huwa haijui kitu. Inatamani madaraka tuBoard chair ni sawa kupewa hao busara za uongozi na sio watendaji zaidi.....pia wako free hakuna mgongano maslahi sababu was wastaafu...
Kwahiyo tunakubaliana kuwa hizo nafasi ni za kulindana?Board chair ni sawa kupewa hao busara za uongozi na sio watendaji zaidi.....pia wako free hakuna mgongano maslahi sababu was wastaafu...
Tuliza akili wewe mjaneThanks, hawa michadema huwa haijui kitu. Inatamani madaraka tu
degree za chup! ? Mtu anasoma chuo ili ateuliwe kwani?Tukisema kuwa ccm ni chaka la kulindana bado kuna watu hawaelewi.
Kuna wadogo zetu wamemaliza vyuo kibao wanahangaika kutafuta angalau kupata line ya kuwaingizia mkate wao wa kila siku.
Hawapati na wengine wanalala na njaa kabisa lkn ccm kwao ni sherehe tu
Mkuu nafikiri hukuelewa Mmawia ni nini hasa alimaanisha. Nilivyomuelewa ni kwamba, alihitaji adjustment kwenye nafasi za teuzi. Yaani anachukuliwa/anateuliwa mtu mwenye uzoefu wa kutosha kwenda kuwa M/K wa Bodi. Kwa kifupi waachiane nafasi Kwa kuwa promoted. Nafasi ya chini kabisa automatically ataajiriwa kijana toka chuoni. Ndiyo nilivyomuelewa.degree za chup! ? Mtu anasoma chuo ili ateuliwe kwani?
Niliingia taasisi moja uahasibu kwenda kulipia issue flani. Kajisister duu Kako kanafundishwa kazi na degree yake. Hata Ku click compture hakajui maaaanina zake kalinichelewesha issue zangu. Eti nako kanapigiwa Debe uku jf kapate teuzi. nonsensical.
disclaimer: simaanish wateuliwe wastaafu though.
Habari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake .
Hasa....Ndio ilivyoKwahiyo tunakubaliana kuwa hizo nafasi ni za kulindana?
Hapo tumekubaliana sasa.Hasa....Ndio ilivyo
Hii inamake sense kama amemaanisha hiviMkuu nafikiri hukuelewa Mmawia ni nini hasa alimaanisha. Nilivyomuelewa ni kwamba, alihitaji adjustment kwenye nafasi za teuzi. Yaani anachukuliwa/anateuliwa mtu mwenye uzoefu wa kutosha kwenda kuwa M/K wa Bodi. Kwa kifupi waachiane nafasi Kwa kuwa promoted. Nafasi ya chini kabisa automatically ataajiriwa kijana toka chuoni. Ndiyo nilivyomuelewa.
Posho haipungui 7m mara 4 sawa na million 28 kwa mwaka, na wanaweza kuwa na vikao vya dharura kama vutatu...dudetteInashangaza sana na hoja hapo ni kuwapa nafasi ya kujiingizia kipato.
Wakiwa kwenye vikao utasikia vijana mjiajiri na muanzishe vikundi vya uzalishaji.
Hapo bado kupeana trip za kishikaji kibaoPosho haipungui 7m mara 4 sawa na million 28 kwa mwaka, na wanaweza kuwa na vikao vya dharura kama vutatu...dudette
Wakati huo mtu kama sefue anachukua karibu milioni 5 ya pensheni kila mwezi,na anaendelea kujichukulia hiyo mihela.Hapo bado kupeana trip za kishikaji kibao
Umeonaeeee lkn bado kuna mijitu inashangilia kama mazuzu tuWakati huo mtu kama sefue anachukua karibu milioni 5 ya pensheni kila mwezi,na anaendelea kujichukulia hiyo mihela.
Miss Tanzania by Solo Thang
Ulitaka hao masharobaro wa chuo ndo wapewe uenyekiti wa TIPER? Ha ha haTukisema kuwa ccm ni chaka la kulindana bado kuna watu hawaelewi.
Kuna wadogo zetu wamemaliza vyuo kibao wanahangaika kutafuta angalau kupata line ya kuwaingizia mkate wao wa kila siku.
Hawapati na wengine wanalala na njaa kabisa lkn ccm kwao ni sherehe tu
Mlaumu Baba yako sio Chama.Wakati huo mtu kama sefue anachukua karibu milioni 5 ya pensheni kila mwezi,na anaendelea kujichukulia hiyo mihela.
Miss Tanzania by Solo Thang
Kinachoongoza siyo usharobalo bali ni uweledi na wala kinachoongoza siyo mvi kichwani bali ni akili.Ulitaka hao masharobaro wa chuo ndo wapewe uenyekiti wa TIPER? Ha ha ha