Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Kuanzia January 2022 Membe atarudi kwenye system hapo sasa na hawaakina Silinde, Waitara , Gekuli waaendelee kupalilia uchawa ili wabaki la si hivyo wanaweza kuporwa nafasi zao
😂😂😂 Hawa siyo kipenzi cha wazawa wa chama na ndiyo maana unaona haya ya akina SegueDawa ya chawa ni dudu killer