Mathayo David Msuya mwizi wa vyeti

Mathayo David Msuya mwizi wa vyeti

Hapana! ukifanya ujinga lazima tukufate, kama ulichukua nafasi ya watu kwenye nafasi ya wengine kwa wizi wa vyeti hivyo ni ishu nzuri tu ya kukufikisha mahakamani, sema uzuri wa nchi hii kuna watu wako juu ya sheria

kumbe unatambua hivyo!tutafanikiwa tu pale watu watakapowajibika kupitia katiba na kufuata sheria mkuu.
 
Hapana! ukifanya ujinga lazima tukufate, kama ulichukua nafasi ya watu kwenye nafasi ya wengine kwa wizi wa vyeti hivyo ni ishu nzuri tu ya kukufikisha mahakamani, sema uzuri wa nchi hii kuna watu wako juu ya sheria
kama unajua kufatilia mbona ufatilii vyeti vya yule dj maarufu aliyepata zero na sasa ni mtu mkubwa sana hapa nchini?? au kama unajua sana basi ungefatilia vya yule mwizi wa wake za watu!
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam

NO! tena a Big NO! Mathayo ni public figure. Historia yake matters a lot! Kapokee hela yake ule lakini sio kubeza wanaohoji juu ya aliyoyafanya huko. Kama alighushi shule kwa nini tumwamini na kumpa dhamana kubwa kama ya uwaziri! Kwa hili kafikirie tena. You are wrong!
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam

Hiii!!!.. Huyu ni public figure.. Lazima uadilifu wake uhojiwe hadharani.
 
kama unajua kufatilia mbona ufatilii vyeti vya yule dj maarufu aliyepata zero na sasa ni mtu mkubwa sana hapa nchini?? au kama unajua sana basi ungefatilia vya yule mwizi wa wake za watu!

Kama hiyo ni image yako, basi ni sawa na wale waitwao kubwa ji.....!
 
Nakubaliana na yote, ila kuwa david matayo ni mtoto wa cleopa msuya, hilo nina wasiwasi nalo, navyo jua mimi ni kuwa wote ni wapare. Labda kama ni ni mtoto wa nje.

Ndivyo ilivyo!... Pia ujue mtoto wa nje ni mtoto kama wengine.
 
kama unajua kufatilia mbona ufatilii vyeti vya yule dj maarufu aliyepata zero na sasa ni mtu mkubwa sana hapa nchini?? au kama unajua sana basi ungefatilia vya yule mwizi wa wake za watu!

Kwa hili la uasherati si dhani nani yuko safi, tukianza na wewe mwenyewe na viongozi wako unaowaona wanafaa...hivyo fhapo sina cha kusema
 
Nakubaliana na yote, ila kuwa david matayo ni mtoto wa cleopa msuya, hilo nina wasiwasi nalo, navyo jua mimi ni kuwa wote ni wapare. Labda kama ni ni mtoto wa nje.

Najibu kama Mpare mwenzake : Ni Mwanae wa Kumzaa kabisaa....


Ahsante !
 
Back
Top Bottom