Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

mkombengwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
3,180
Reaction score
3,458
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...
 
Anadai hata asipochaguliwa atashinda. Nimeshindwa kabisa kumwelewa.
Ahadi zake ni zilezile za "mkinichagua nitawaletea maji"
Rushwa inadaiwa imekua kawaida kwake hasa maeneo ya milimani!
 
Hahahaaa kwa hali iliyopo hivi sasa tutegemee matusi ya nguoni kutoka kwa watia nia wa CCM maana kupigana kumeshakua jambo la kawaida.

Hapo umenena vyema, maana hakuna namna nyingine!
 
Hivi Lowassa anaweza kumsaidia mtia nia yeyote kupitia CCM kweli?

Hawezi, mwenyewe anatakiwa apate wabunge wengi zaidi ili aweze kuunda serikali, sasa akichagua ccm itakula kwake!
 
Hahahaaa kwa hali iliyopo hivi sasa tutegemee matusi ya nguoni kutoka kwa watia nia wa CCM maana kupigana kumeshakua jambo la kawaida.

Ona Ndugai akifanya vitu vyake

[video]https://youtu.be/FxcbengNRC4  [/video]
 
Watu wa same na mwanga wanatuangusha sana mkoa wa kilimanjaro. Wao ni CCM tu sijui wamekunywa maji ya bendera... Wapare badikeni
Ndio maana wako nyuma kimaendeleo hadi sasa.
Maji kwao bado ni tatizo la kudumu.
 
Hawezi, mwenyewe anatakiwa apate wabunge wengi zaidi ili aweze kuunda serikali, sasa akichagua ccm itakula kwake!
Kabisa mkuu, anayetaka huruma ya Lowassa basi na aisalimishe shingo yake Chadema.
 
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...

Mungu wangu.....ccm hiki ninini?
 
Mathayo hana chake tena hapo Same aondoke tumemchoka na tumechoka CCM ninaomba wana Same tubadilishe hii system harrrrrrrrraakaaaaa
 
Jamani Same na Mwanga msituangushe. Hakuna kumchagua tena mbunge kupitia CCM. Wabunge wa hiki chama kwa Same na Mwanga hawafai. Tulidanganywa kuwa kuna mradi wa maji ikawa danganya toto. Sasa niwakati wa kufanya mabadiliko chagua chadema
 
Back
Top Bottom