Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

Na hapo utakuta mke wa huyo Mathayo kaipokea kauli hiyo kwa furaha isiyo kifani
 
Usituongelee kipare kama mwehu.
Hakuna la maana CCM wamefanya huko same.
Maendeleo yameletwa na wananchi na sio ccm.

Mkuu heshima itawale huwezi toa hoja mpaka utukane? Hii sio porojo ninaongea kwa evidence na nimekuwa hapo kwa kazi flani vijijini. Hutaki kunya tikiti
 
Ana Dharau Sana Huyo Ana Kampuni Yake Pale Sinza Lego Inaitwa Ramani Investment Sinza Lego Ndo Kuna Yard Ya Mitambo Yake, Ofisi Kuu Iko Victoria Kijitonyama Grinaker Building Second Floor Utaona Bango Rangi Ya Gold Ramani Investment 'tunakodisha Mitambo' Anakata Wafanyakazi Nssf Kila Mwezi Hapeleki Hata Mia! Mimi Nilikuwa Mfanyakaz Pale Miaka Miwili Miez Kumi. Nssf Nimehesabiwa Mkononi Cash, Ukiacha Kazi Mwenyewe Ndo Anakuzulumu Kabisa! Kama Alivyo Mzulumu Mwacha Operator Wa Excavator Aliefanya Kazi Kwake Miaka Minne. SSRA Hivi Mko Wapi? Hamumuoni Huyu Mwizi David Mathayo Mwenye Kampuni Ya Ramani Investment Anavyodhulumu Employees Wake?! Mkewake Anaitwa Pamela Shoo Ni Mzuri! Ndie Huwa Ofisini Mara Nyingi, Mtoto Wao Mkubwa Anaitwa Lina Ni Kifaa! Mwingine Mdogo Amemfanya Zezeta Ni Taahira Ila Anaish Nae Safari Za Kumpeleka India Huwa Haziishi Ili Watupumbaze, Matayo Sasa Hivi Ameshahamia Nyumba Yk Ya Masaki Takukuru & SSRA Take Action! Namba Ya Matayo Ni 075222222* Ya Mwisho Digits 0-5 www.ramaniequipments.com
 
Nami ni wa huko naumia sana kuona Ccm ikitamalak kuna mijitu ina shule ila wapi
 
Nenda gombe kama waweza kuwashauri wale jamaa kuhamia DAR .
 
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...

David Mathayo na Anne Kilango kurudi bungeni ni ndoto, sio kwa sababu upinzani/UKAWA umeshamiri bali ndaniya CCM kwenyewe hawawataki kkuwasikia hawa watu.
 
Usituongelee kipare kama mwehu.
Hakuna la maana CCM wamefanya huko same.
Maendeleo yameletwa na wananchi na sio ccm.

Ndio maana alisema atapata kura kwa wanawake na hoja za huyo mdada huenda yupo sahihi kabisa
 
Ana Dharau Sana Huyo Ana Kampuni Yake Pale Sinza Lego Inaitwa Ramani Investment Sinza Lego Ndo Kuna Yard Ya Mitambo Yake, Ofisi Kuu Iko Victoria Kijitonyama Grinaker Building Second Floor Utaona Bango Rangi Ya Gold Ramani Investment 'tunakodisha Mitambo' Anakata Wafanyakazi Nssf Kila Mwezi Hapeleki Hata Mia! Mimi Nilikuwa Mfanyakaz Pale Miaka Miwili Miez Kumi. Nssf Nimehesabiwa Mkononi Cash, Ukiacha Kazi Mwenyewe Ndo Anakuzulumu Kabisa! Kama Alivyo Mzulumu Mwacha Operator Wa Excavator Aliefanya Kazi Kwake Miaka Minne. SSRA Hivi Mko Wapi? Hamumuoni Huyu Mwizi David Mathayo Mwenye Kampuni Ya Ramani Investment Anavyodhulumu Employees Wake?! Mkewake Anaitwa Pamela Shoo Ni Mzuri! Ndie Huwa Ofisini Mara Nyingi, Mtoto Wao Mkubwa Anaitwa Lina Ni Kifaa! Mwingine Mdogo Amemfanya Zezeta Ni Taahira Ila Anaish Nae Safari Za Kumpeleka India Huwa Haziishi Ili Watupumbaze, Matayo Sasa Hivi Ameshahamia Nyumba Yk Ya Masaki Takukuru & SSRA Take Action! Namba Ya Matayo Ni 075222222* Ya Mwisho Digits 0-5 www.ramaniequipments.com

Hiyo Kampuni inashughulika na nini?
 
Mkuu heshima itawale huwezi toa hoja mpaka utukane? Hii sio porojo ninaongea kwa evidence na nimekuwa hapo kwa kazi flani vijijini. Hutaki kunya tikiti

Umeshindwa kujua tofauti kati ya maendeleo yalioletwa na CCM na yaliokuja automatically na wananchi.
 
Back
Top Bottom