shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kabisa mkuu, anayetaka huruma ya Lowassa basi na aisalimishe shingo yake Chadema.
Nifah,subiri kuanzia tarehe12.08.2015 wana ccm watakavyomiminika ukawa.
Kabisa mkuu, anayetaka huruma ya Lowassa basi na aisalimishe shingo yake Chadema.
Mkuu kama una taarifa za uhakika nipenyezee pm tafadhali.Nifah,subiri kuanzia tarehe12.08.2015 wana ccm watakavyomiminika ukawa.
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...
Hivi kilango alishafanikiwa kuingia kwenye mchakato?Same wanatuangusha wanapenda ccm ka nn wakati ata haiwasaidii kitu.
Anadai hata asipochaguliwa atashinda. Nimeshindwa kabisa kumwelewa.
Ahadi zake ni zilezile za "mkinichagua nitawaletea maji"
Rushwa inadaiwa imekua kawaida kwake hasa maeneo ya milimani!
Mkuu kama una taarifa za uhakika nipenyezee pm tafadhali.
Same wanatuangusha wanapenda ccm ka nn wakati ata haiwasaidii kitu.
Watu wa same ni Wajinga sana, kuing'angania ccm kama mama yao
Watu wa same ni Wajinga sana, kuing'angania ccm kama mama yao
Ndio maana wako nyuma kimaendeleo hadi sasa.
Maji kwao bado ni tatizo la kudumu.
Mungu wangu.....ccm hiki ninini?
Same magharibi ni ngome ya ccm ila matayo angepumzika aingie mwanaccm mwingine. Nkondo yaoka Nkondo
Mjinga mwenyewe. Yetoni same ni ccm mwanzo mwisho. Na halmashauri ilishaongoza tz nzima....kazi ya ccm pale inaonekana. Mivongo na ndiva zimechimbwa kuboresha kilimo cha umwagiliaji, viwanda vya kukamua mazao, biashara zimeboreshwa kwa kujengewa frem za kisa sa za biashara na mengi zaidi
Ni kwamba hilo jimbo CCM wameshalipoteza