Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,212
- 80,121
😹😹😹Aisee, we dada hapa tukichanganya damu, tunaweza tengeneza vi genius.
Mkuu umefanya nicheke kwa sauti.
Usingizi ulikuwa unanyemelea umekata ghafla.
😹😹😹Aisee, we dada hapa tukichanganya damu, tunaweza tengeneza vi genius.
siyo ....Chupa no 2 haiwezi kujaa hivyo chupa no 6 nayo ni zero .. hata mimi mwanzo nilidhani kama wewe nikajiweka sawaGiven enough time, yes chupa #5 itajaa, kabla ya hapo, itaanza chupa #6 halafu #4, #2, ikifuatia #7,#5,#3 halafu #1.
❌Given enough time, yes chupa #5 itajaa, kabla ya hapo, itaanza chupa #6 halafu #4, #2, ikifuatia #7,#5,#3 halafu #1.
Chupa no 2 imezibwa wacha ubishi nilitaka kuoima uwezo wako wa akili ya utafiti hivyo hskuna tone la maji yatakayo ingia no 2 alijatobolewaMaji hayaweza kuanza kudondoka kwenye chupa #3 mpaka chupa #2 ijae. Ndiyo maàna nikasema, pressure in fluid acts on it's own level.
Unataka kunifundisha physics ya mambo ya implosion kaka? Tuyaache tu hayo.Mjomba
Fanya hesabu tu achana na physics ujui kuwa unavyo zidi kwenda chini ya bahari pressure inaongezeka licha ya kuwa sawa kila upande ..unajuwa kinyume cha neno explosion?
Chupa no 2 imezibwa wacha ubishi nilitaka kuoima uwezo wako wa akili ya utafiti hivyo hskuna tone la maji yatakayo ingia no 2 alijatobolewa
Ok, nimeona hako ka mstari ka blue kwenye chupa #1 na #3, but that can be left open to a lot of interpretation, like reflection and so forth but I digress, let's move on.siyo ....Chupa no 2 haiwezi kujaa hivyo chupa no 6 nayo ni zero .. hata mimi mwanzo nilidhani kama wewe nikajiweka sawa
Ngoja nianze kuunda equation yake
Duh kukicha nidai mwekundu💪🏿
12Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Tatizo kujaza kwenye vyumba achana na haya maswali maana tunashindwa kujibu kutokana na kushinwa kujaza vyumba
14Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415