Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,119
- 29,676
Based on the law of pressure, "pressure in fluid acts on its own level", the answer is 6
6 red japo swali lipo open
Siyo pressure tu hata pressure ingekuwa sawaBased on the law of pressure, "pressure in fluid act on its own level", the answer is 6
Kiju ni 5 ❌Based on the law of pressure, "pressure in fluid act on its own level", the answer is 6
Unafikiri bila atmosphric pressure hapo hayo maji yangedondoka chini? Ukiwa kwenye space station unafikiri jibu lingekuwa 6?Siyo pressure tu hata pressure ingekuwa sawa jibu ni 6
kwanza jibu siyo 6 ni 5 😁😁 tumekosea ila hapo kinacho sababisha siyo presha zaidi ndiyo maana nikakuambia pressure kuwa sawaUnafikiri bila atmosphric pressure hapo hayo maji yangedondoka chini? Ukiwa kwenye space station unafikiri jibu lingekuwa 6?
Maji hayaweza kuanza kudondoka kwenye chupa #3 mpaka chupa #2 ijae. Ndiyo maàna nikasema, pressure in fluid acts on it's own level.Kwanza
Jibu siyo 6 ni 5 😁😁 tumekosea ila hapo kinacho zababisha siyo presha zaidi ndiyo maana nikakuambia pressure kuwa sawa
swali linauliza ni chupa ipi itajaa..kama ingekuwa inamaana unayo sema kusingeuliza kujaa kwa chupa ...sikusema pressure siyo chochote nimesema hata kama presha ya vibomba vyote ingekuwa sawa lazima kunachupa zingejaa mwanzoUnafikiri bila atmosphric pressure hapo hayo maji yangedondoka chini? Ukiwa kwenye space station unafikiri jibu lingekuwa 6?
Jibu ni 5 siyo 6 mbona na mimi nilidhani 6 ila nimegundua makosa jibu ni 5 tumia akiliMaji hayaweza kuanza kudondoka kwenye chupa #3 mpaka chupa ya pili ijae. Ndiyo maàna nikasema, pressure in fluid acts on it's own level.
Hakuna cha hata kama, it's a known fact that pressure in fluid acts equally in all directions.swali linauliza ni chupa ipi itajaa..kama ingekuwa inamaana unayo sema kusingeuliza kujaa kwa chupa ...sikusema pressure siyo chochote nimesema hata kama presha ya vibomba vyote ingekuwa sawa lazima kunachupa zingejaa mwanzo
Hapo kuna mambo mawili time and pressure ...kwenye ilo swali logic siyo pressure bali time ndiyo maana nikskuambia hata pressure ingekuwepo ila iwe sawa jibu lipo nalo ni chupa ya 5Hakuna cha hata kama, it's a known fact that pressure in fluid acts equally in all directions.
X na y ni 70
❌Maji hayaweza kuanza kudondoka kwenye chupa #3 mpaka chupa #2 ijae. Ndiyo maàna nikasema, pressure in fluid acts on it's own level.
Given enough time, yes chupa #5 itajaa, kabla ya hapo, itaanza chupa #6 halafu #4, #2, ikifuatia #7,#5,#3 halafu #1.Hapo kuna mambo mawili time and pressure ...kwenye ilo swali logic siyo pressure bali time ndiyo maana nikskuambia hata pressure ingekuwepo ila iwe sawa jibu lipo nalo ni chupa ya 5
Fanya hesabu tu achana na physics ujui kuwa unavyo zidi kwenda chini ya bahari pressure inaongezeka licha ya kuwa sawa kila upande ..unajuwa kinyume cha neno explosion?Hakuna cha hata kama, it's a known fact that pressure in fluid acts equally in all directions.