Math challenge

Math challenge

Unaweza ku- type kwenye device yako, unayotumia ku post JF.
Tatizo ni key board yangu nimeset isiwe na mambo mengi sasa alama za hesabu zinakuwa,shida kuandika hata kuweka alama kama ya pai inakuwa shida ...ilo swali lako dogo sana sema mlolongo mrefu.
 
Sasa mbona ukumalizia 21cm✅
Kihisabati, unapokuwa una deal na irrational constants kama √2, e au π unatakiwa kuziacha hivyo hivyo kama symbols. Hii ni kwasababu zifuatazo:

1. Uhakika
Hizi namba kama √2 huwezi kuziandika kama namba nzima, utakadiria tuu, ambayo siyo sahihi.

2.. Urahisi
Badala ya kuandika 3.14145 ambazo ni digits nyingi na siyo kamili unaandika tuu π

3. Kuondoa makosa.
Unapo kadiria hizi constants, halafu ukafaya ukokotiaji, utapunguza uhalisia na kuleta makosa.

Imagine una design injini ya gari, halafu crankshaft inatakiwa iwe na tolerance ya +/- ya 0.000453. Sasa wewe umekunywa mipombe yako huko, unakadiria tuu minamba, unakuja kupata tolerance ya +/- 0.01.

Mafundi mchundo baadae wanapata tabu kujua kwanini engine hii inachemsha sana, kumbe Lwiva is a lousy mathematician, anadiria hovyo minamba inaleta errors ambazo zinafanya engine ku dissipate heat, kwasababu ya excessive vibrations.
😀
 
Brilliant _ Learn by doing.jpeg
 
let ∆, o and rectangle symbol be x,y and z respectively.
X +y = 2x+z
y = x+z... (i)
and
y = 5x...(ii)
Substructing eq (ii) from (i)
0 = -4x + z => z=4x
Therefore 5z = 20x
SInce x represents blue balls we need 20 blue balls to balance our scale.


20 blue balls
Mimi kwenye hisabati mkuu sio mahiri kabisa
 
25 hesabu kama hizi utumii peni
Umepata wapi hii value wakati uki formulate equation unapata two variables huku ukiwa na equation moja?

let W = white ball and
R = red ball

2W+R=3R+30
Subtract R from both sides:
2W=2R+30
W=R+15

Tuna equation moja na variables mbili, tunahitaji informtion zaidi ku solve hii.
 
Umepata wapi hii value wakati uki formulate equation unapata two variables huku ukiwa na equation moja?

let W = white ball and
R = red ball

2W+R=3R+30
Subtract R from both sides:
2W=2R+30
W=R+15

Tuna equation moja na variables mbili, tunahitaji informtion zaidi ku solve hii.
Siyo kweli hesabu hipo sahihi jibu ni 25 tena utakiwi kutumia hata pen...wewe hesabu ngumu unapata ila nyepesi zinakutatiza😁😁 ngoja niku eleweshe hapa ndiyo ulipo kwama kujua kuwa
3R=30 so R=10
 
Back
Top Bottom