Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,303
3R = 30 umeitoa wapi, wakati kwenye mzani upande wa kulia Kuna 30 + three red balls?Siyo kweli hesabu hipo sahihi jibu ni 25 tena utakiwi kutumia hata pen...wewe hesabu ngumu unapata ila nyepesi zinakutatizašš ngoja niku eleweshe hapa ndiyo ulipo kwama kujua kuwa
3R=30 so R=10