Mbona jambo lipo uchi tu hapo mkubwa.Ngoja invigilators waamke tukubaliane haya majibu upate✔
Asante sana ilikuwa ni lazima nikuchokonoe nipate hii formula 🙏🏿Mbona jambo lipo uchi tu hapo mkubwa.
Namba zote kachukua, kazidisha na 5 ya hapo kati akapata majibu ..
Ukifanya kisengele nyuma.. namba za juu kagawanya na hiyo 5 ndio kapata namba za chini