Math challenge

Math challenge

Sasa twende hesabu za darasa la 7 ..tuachane na hesabu za darasa la 5 za magazi juto.kipimo ni "cm"
 
Attachments

  • Screenshot_20250503-180019_YouTube Lite.jpg
    Screenshot_20250503-180019_YouTube Lite.jpg
    157.8 KB · Views: 15
Find r all no in cm
 
Attachments

  • Screenshot_20250501-185128_YouTube Lite.jpg
    Screenshot_20250501-185128_YouTube Lite.jpg
    26.7 KB · Views: 13
Mwanzoni nilikosea kuweka length of a longer chord (18+5+5) = 28 badala ya (18+5) =23 .
Hivyo kuna chord mbili 13cm na 23cm na length btn them is 6cm, ukifanya pythagorus hapo utapata radius kuwa approximately 12.35cm
 
✅
 
Lwiva umekuwa unahepa kujibu maswali yangu, chukua chuma kingine,

Find the general solution of y′ – ψ(x) y = 0
 
Lwiva umekuwa unahepa kujibu maswali yangu, chukua chuma kingine,

Find the general solution of y′ – ψ(x) y = 0
Hesabu zote mimi natoa majibu kichwani bila ya kuandika ...hivyo kama hii inakuwa shida maana hapa hadi niandike kwenye karatasi
 
Back
Top Bottom