TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,270
- 27,942
15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
35Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Jibu ni 4
Mkuu ukifungua mabano inabaki 60÷5×3, kanuni ya Bodmas itumike na hapa msahihishaji asiwe Jecha. HahahaJibu ni 4
5(1+1(1+1))Ukishamaliza za kwenye mabano unafuata taratibu mkuu, unagawanya kwanza ndo uzidishe.
1
Kwenye 60÷5×3, hakuna 5X3 hapo bali kuna 5(3).Mkuu ukifungua mabano inabaki 60÷5×3, kanuni ya Bodmas itumike na hapa msahihishaji asiwe Jecha. Hahaha
Ok. Kumbe 5×(1+(1+1)) si sawa na 5(1+(1+1))?? I thought ukiondoa tu alama ya mabano baada ya zilizopo kwenye mabano automatically alama ya kuzidisha inakuwepo.5(1+1(1+1))
5 na (1+1(1+1)) zipo pamoja, kufungua mabao ni kuzidisha na 5
Asante mkuu.Kwenye 60÷5×3, hakuna X hapo bali kuna 5(3).
5 ikiwa ni coefficient of 3
Umeniongezea kitu. Thank you.5(1+1(1+1))
5 na (1+1(1+1)) zipo pamoja, kufungua mabao ni kuzidisha na 5
Hahahah!Ndugu yetu alianza tabia ya kuweka mikasi kwa wenzie wakikosea, na wewe ukaaanza kumwekea yeye.