¼(1+(1++1) ndiyo sawa naOk. Kumbe 5×(1+(1+1)) si sawa na 5(1+(1+1))?? I thought ukiondoa tu alama ya mabano baada ya zilizopo kwenye mabano automatically alama ya kuzidisha inakuwepo.
Hapa kwenye hii hesabu jamaa kaongeza makosa ...😁😁sasa hivi kuna makosa mawili atakuja kusema calculator zote zimekosewa (6×4÷8)= hapa pia pamemshinda jinsi ya kufanya 😁9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1
Hapa tunatafuta nini Chief?
Toa proof!Hapa tunatafuta nini Chief?
Everything is straight forward my boi, what are you bitchin' about? Do you understand that X and ÷ have the same presedence, in such, operation is done from left to right? If you have ever programmed any computer before, in any language, you should have already known that.Hapa kwenye hii hesabu jamaa kaongeza makosa ...😁😁sasa hivi kuna makosa mawili atakuja kusema calculator zote zimekosewa (6×4÷8)= hapa pia pamemshinda jinsi ya kufanya 😁
Kwa hiyo unaongea kingerea kuwa ndiyo mechanisms ya kujilinda .....😁😁😁rudi shule maana hauna uwezo wa kujifundisha mwenyewe umezoea chaki na kiboko na mtu anayeitwa mwalimu ...mwanzoni nilijua unatatizo dogo ila nimegundua ni bogasi kabisa... ERoni Pyaar ...mnamsikia mtu wenu anakuambiaEverything is straight forward my boi, what are you bitchin' about? Do you understand that X and ÷ have the same presedence, in such, operation is done from left to right? If you have programmed any computer before, in any language, you should have already known that.
We jamaa bana, ni hivi, (+) na (÷) zina itifaki sawa (same presedence), hivyo unaanza na ile ya kushoto . Ndiyo maàna kwenye 6x4÷8 unaanza na 6x4 na kumalizia na kugawanya na 8.Kwa hiyo unaongea kingerea kuwa ndiyo mechanisms ya kujilinda .....😁😁😁rudi shule maana hauna uwezo wa kujifundisha mwenyewe umezoea chaki na kiboko na mtu anayeitwa mwalimu ...mwanzoni nilijua unatatizo dogo ila nimegundua ni bogasi kabisa... ERoni Pyaar ...mnamsikia mtu wenu anakuambia
(6×4÷8)=24÷8=3 arafu ni mbishi na mpotoshaji anadanganya watu humu ...tatizo huu uzi unakuwa ovyo kwa sababu maswali yanaletwa bila ya majibu kwa wenye kutoa swali
Mrs calculator zote duniani zimekosewa😁😁😁We jamaa bana, ni hivi, (+) na (÷) zina itifaki sawa (same presedence), hivyo unaanza na ile ya kushoto . Ndiyo maàna kwenye 6x4÷8 unaanza na 6x4 na kumalizia na kugawanya na 8.
Calculator zote kivipi, mbona calculator yangu ya Texas Instruments inatoa jibu sahihi?Mrs calculator zote duniani zimekosewa😁😁😁
Tupa jalalani hiyo calculator...nyinyi ndiyo wale wasomi wa UDSM mbwembe nyingi eti tunataka computer ya hali ya juu sijui core i gani sijui utadhani kuna cha maana zaidi ya kuangalia ngono tu na magemu ...wenzao walitumia pentium 1 kuunda rocketCalculator zote kivipi, mbona calculator yangu ya Texas Instruments inatoa jibu sahihi?
Unatoa assumptions nyingi zisizo na msingi.Tupa jalalani hiyo calculator...nyinyi ndiyo wale wasomi wa UDSM mbwembe nyingi eti tunataka computer ya hali ya juu sijui core i gani sijui utadhani kuna cha maana zaidi ya kuangalia ngono tu na magemu ...wenzao walitumia pentium 1 kuunda rocket
Tatizo lako umekrem vitu bila ya kujua logic ...kwa hiyo nikianzia kushoto kwa maana ya 4÷8 huko siyo kuanzia kushoto kwenda kulia mfano 1,2,3,4,5,6,7,8 sasa wewe ukaanza kuhesabu kuanzia moja hadi 3 maana yake umeanzia kushoto kwenda kulia kisha nikaja mimi nikahesabu kuanzia 3 hadi 8 je sija anzia kushoto kwenda kulia ? Wewe kiumbe una ubongo mdogo sana 😁😁😁😁 ..We jamaa bana, ni hivi, (+) na (÷) zina itifaki sawa (same presedence), hivyo unaanza na ile ya kushoto . Ndiyo maàna kwenye 6x4÷8 unaanza na 6x4 na kumalizia na kugawanya na 8.
Mjomba unatuharibia uziTatizo lako umekrem vitu bila ya kujua logic ...kwa hiyo nikianzia kushoto kwa maana ya 4÷8 huko siyo kuanzia kushoto kwenda kulia mfano 1,2,3,4,5,6,7,8 sasa wewe ukaanza kuhesabu kuanzia moja hadi 3 maana yake umeanzia kushoto kwenda kulia kisha nikaja mimi nikahesabu kuanzia 3 hadi 8 je sija anzia kushoto kwenda kulia ? Wewe kiumbe una ubongo mdogo sana 😁😁😁😁 ..
Mfano mwingine huu hapa
A)6×4÷8=24÷8=3
B)6×4÷8=6×0.5=3
C)6×4÷8=6×8÷4=12 ...tizama hapa kwenye "c" jibu limekuja 12 kwa sababu nimeanzia kushoto yaani 8 gawa kwa 4 huku ndiyo kuanzia kushoto hskuna hesabu ya namna hii ...😁😁 Ila A na B wote tumeanz8a kulia kwenda kushoto ila katika level tofauti ...hivyo hoja yako ya kuanzia kushoto ni sahihi ndiyo tunavyo fanya hesabu zota kwa za magazijuto unaanzia kushoyo kwenda kulia ila katika level stahiki .
Anaye panda treni kuanzia dar kwenda dodoma kaanzia mashariki kwenda magharibi na anayepanda treni hiyo kuanzia moro kwenda dodoma naye kaanxia mashariki kwenda magharibi
Ngoja niwaachieni uzi wenu ..kwa hiyo hapo nikitokea kushoto yaani kuanzia 6x4 jibu linakuwa tofauti na nikianzia kushoto ya 4÷8 kwa muongozo wa magazi juto ?...nijibu hili kisha niache uziMjomba unatuharibia uzi
Mbona unashambulia kwa maneno makali sana?
Nijuavyo 6x4÷8= hapo ni kama alivyosema chamoto kwamba yakikutana hayo matendo kwa pamoja kanuni inasema utaangalia tendo gani limemtangulia mwenzake ndilo utaanza nalo na kutangulia ni kukaa kushoto
Sasa kama una hoja tofauti na kanuni hiyo nadhani ilikuwa ni kuiweka bayana hapa tujifunze na siyo hivi ufanyavyo