Math challenge

Math challenge

4 + 4 = 8
7 + 7 = 14
9 + 9 = 18
10 + 10 = 20

The difference;
7 -4=3
9 - 7= 2
10 - 9 = 1

1,2,3,4,5,6,7,8,9
The missing number is 4 ie. The difference between 28…(14 + 14) and 20…(10 + 10).
Kama huna kazi wenye shule wakutafute ukasaidie watoto wetu huko😅
 
root of a root.jpg
 
4 + 4 = 8
7 + 7 = 14
9 + 9 = 18
10 + 10 = 20

The difference;
7 -4=3
9 - 7= 2
10 - 9 = 1

1,2,3,4,5,6,7,8,9
The missing number is 4 ie. The difference between 28…(14 + 14) and 20…(10 + 10).
pattern.jpg

This is how I arrived to my answer.
 
2(2+2) ni kitu kimoja, yaani 2+2 ni coefficient ya 2. Hivyo ni lazina umalizane na biashara yote kabla haujahangaika na kugawanya.
Hivi ni mara ngapi nitawaelekezeni siyo hivyo hakuna hesabu ya hivyo ulimwengu jibu hapo ni 16 kama amjui ulizeni kivipi
 
Hivi ni mara ngapi nitawaelekezeni siyo hivyo hakuna hesabu ya hivyo ulimwengu jibu hapo ni 16
Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.
 
Dhumuni la mabano ni kushililia terms kama kitu kimoja (monomial
Usibishane na mimi jomba wacha kucheza na magenius tulio shindikana sema nikufundishe hesabu kwa daraja ya juu msingi wenu wa kihesabu ni mbovu ndiyo maana mnashindwa kujua kuwa mnakosea ....nikosa kubwa sana kufanya hesabu kwa kukalili mfano bila shaka hata hii hesabu mtakosa
Jibu sahihi hapo ni A=9
 
Attachments

  • Screenshot_20250427-163223.jpg
    Screenshot_20250427-163223.jpg
    165.8 KB · Views: 7
Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.
 
Usibishane na mimi jomba wacha kucheza na magenius tulio shindikana sema nikufundishe hesabu kwa daraja ya juu msingi wenu wa kihesabu ni mbovu ndiyo maana mnashindwa kujua kuwa mnakosea ....nikosa kubwa sana kufanya hesabu kwa kukalili mfano bila shaka hata hii hesabu mtakosa
Jibu sahihi hapo ni A=9
9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1
 
Back
Top Bottom