Math challenge

Math challenge

e8b0a251-9b91-4174-be16-9b879752e19b.jpeg
 
Ok. Kumbe 5×(1+(1+1)) si sawa na 5(1+(1+1))?? I thought ukiondoa tu alama ya mabano baada ya zilizopo kwenye mabano automatically alama ya kuzidisha inakuwepo.
Calculator nyingi including google na AI models zimekuwa coded wrong katika kutofautisha 5x3 na 5(3)
 
Kivipi, mbona unadakia tuu bila kujieleza vizuri?
Yaani calculator zote ulimwengu zikosee na AI zote zikosee at same time? Na mimi genius nikosee ...unajua madhara ya computer kukosea hiyo hesabu kiinjinia?
 
Hili linafanyika ila sio kwa kichwa, lazima tuvute karatasi tushuke nayo mambo conic section.

Hapo inabidi uandike equation ya ellipse ktk standard form kwa kutumia completing square,
Hapo utapata centre, minor na major axis
Unakumbuka vizuri kabisa.
 
Yaani calculator zote ulimwengu zikosee na AI zote zikosee at same time? Na mimi genius nikosee ...unajua madhara ya computer kukosea hiyo hesabu kiinjinia?
AI models kama chaGTP na Gemini large language model, zinaweza tengeneza codes na kufanya math reasoning lakini zina weakness za hapa na pale.

Ukitaka kutumia AI model ambazo zilitengenezwa kwaajili ya kufanya math bila ukakasi tumia mistral AI siyo chatGPT. nitakupa screenshot mbili hapa ya lile swali letu la 60÷5(1+(1+1))

Mistral small.png

chatGPT.png
 
Back
Top Bottom