Math challenge

Math challenge

Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.

9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1
❌❌❌❌❌❌
 
9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1

2(2+2) ni kitu kimoja, yaani 2+2 ni coefficient ya 2. Hivyo ni lazina umalizane na biashara yote kabla haujahangaika na kugawanya. Pyaar na jibu lake la 1 yuko sawa.
☠☠☠☠☠☠
 
Mmmh hii kitu ina solution kweli?
be5b0dff-d6c2-43b2-8e5a-a4de3aa747da-jpeg.3314290

Ni 25

Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7

30/35 = 6/7
12/14 =6/7

za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7

(36/49) = 6/7

Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5

12/30 = 2/5
14/35 = 2/5

Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina uwiano wa 2/5

Let the unknown be x

square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
 
Ni 25

Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7

30/35 = 6/7
12/14 =6/7

za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7

(36/49) = 6/7

Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5

12/30 = 2/5
14/35 = 2/5

Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina ratio ya 2/5

Let the unknowned be x

square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
Kesho nikitulia nitakuelewa, sahivi akili imechangamana na maji, ila umeeleza vizuri
 
be5b0dff-d6c2-43b2-8e5a-a4de3aa747da-jpeg.3314290

Ni 25

Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7

30/35 = 6/7
12/14 =6/7

za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7

(36/49) = 6/7

Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5

12/30 = 2/5
14/35 = 2/5

Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina ratio ya 2/5

Let the unknowned be x

square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
(30+12+14+35)=(36+4+49+x)
91=89+x=91-89=2

X=2
 
Sijakimbia, nimekuuliza kwa nini unaivunja distributive law, umeshindwa kujibu.
Tatizo lako ujui mantiki ya kuwepo kwa BODMAS wewe unafuata tu muongozo ..... bali mimi ninajua kwanini mabano yanapaswa kuwa mwanzo ..najua kwanini baada ya mabano inafuatia gawanya na kwanini baada ya gawanya inafuatia zidisha .....kwenye jumlisha na toa usizingatie sana kuna makosa ...yaana (JUTO) mimi napenda zaidi kutumia nano (MAGAZI) bila ya (JUTO) kuna sababu ya kufanya hivyo ...kuhusu mabano nitakuonyesha kosa lako linatokana na kutokujua sababu ya kuwepo kwa BODMAS mfano
12÷6(2+4)=
12×6(2+4)=
12+6(2+4)=
12-6(2+4)=
Tazana hayo maswali manne njia unayo tumia wewe unaweza kutumia kwa hayo maswali 3 ya chini yasiyo na alama ya gawanya (÷) unajua kwa nini ?
Inapokuwa 12÷6=12/6 yaani hiyo ni hesabu ya sehemu ni 12 over 6 sasa ukichukua hiyo 6 kufanya kuzidisha na 2 na 4 unekosea kwa sababu hiyo 6 ipo chini ya 12

Mf hiyo ya
12+6(2+4)=
12+6(6)=
12+(6×6)=
12+36=48 unaona nimefanya kama unavyo taka na jibu sahihi ni 48 ...sikufanya kama nilivyo fanya kwenye gawanya maana ninge fanya vile jibu lingekuja potovu .tumia akili
 
Inapokuwa 12÷6=12/6 yaani hiyo ni hesabu ya sehemu ni 12 over 6 sasa ukichukua hiyo 6 kufanya kuzidisha na 2 na 4 unekosea kwa sababu hiyo 6 ipo chini ya 12
Unaijuwa distributive law lakini?
 
Unaijuwa distributive law lakini?
Tatizo lako utqki kujifunza rudia hiyo comment yangu kuna fafanuzi pia mabano yanafanya kazi ndani ...tumia hata calculator au google ilo swali au jaribu kutumia AI
 
Tatizo lako utqki kujifunza rudia hiyo comment yangu kuna fafanuzi pia mabano yanafanya kazi ndani ...tumia hata calculator au google ilo swali au jaribu kutumia AI
Brother, hizo AI models sisi tulianza ku train neural networks toka 2010 kwaajili ya kubreak chaptcha. Hizi LLM bado haziko vizuri kwenye hisabati, zinamakosa mengi sana. Jaribu kutumia tofauti tofauti kama chatGPT, Deep seek, Liama, Claude, 03-mini, Mistral na Gemini utaona zinatoa majibu totauti.
 
Back
Top Bottom