15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
upo vizur wengne tumeshaanza kuyasahau haya madude.. Tupo bize kuhesabu namb za makalatasi tuHahaha!
Sio mwl. na sipo shule.
Kichwa kikianza kuwa na mambo mengi kusahau kupo.upo vizur wengne tumeshaanza kuyasahau haya madude.. Tupo bize kuhesabu namb za makalatasi tu
Ooh! Kumbe mihela😋Mone...😀
Hesabu sio eneo lako. Jibu ni 322+3x10=60
Watu wamesahau had magazijutoHesabu sio eneo lako. Jibu ni 32
100
Hahahaha!
Great!🫡Hahahaha!
X >90
X < or equal to 100
100 - X = 0
-X = -100
-X/- = -100/-
X = 100
I’m 100.