Sawa kabisa!
Ama niweke na njia? 😁Sawa kabisa!
From now on, njia muhimu!Ama niweke na njia? 😁
AI ni language model, bado zina changamoto kwenye hisabati.Jaribu kutumia AI
hapo nmekupata na umenikumbusha pia nikuwa nishaaanza kusahau haya mambo
Hiyo right angle, yaani 90°, umeitoa wapi?
mkuu bdo upo shule au wew ni mwalim?Opt. 1
The whole area
L x W
(30 x 15)cm
A = 450cm2
Unshaded area
L x W
(22 x 11)cm
A = 242cm2
Shaded area = 450 - 242
Shaded area = 208cm2.
Opt. 2
Shaded area
LxW
(15 x 8)cm
A= 120cm2
(22 x 4)cm
A=88cm2
(120 + 88)cm2
A = 208cm2.
Hahaha!mkuu bdo upo shule au wew ni mwalim?
Nimeona hiyo pembe tatu ni right angle.Hiyo right angle, yaani 90°, umeitoa wapi?
Assumption kwenye hisabati zina mahala pake, hapo huwezi kufanya hivyo.Nimeona hiyo pembe tatu ni right angle.
Leta madini chiefAssumption kwenye hisabati zina mahala pake, hapo huwezi kufanya hivyo.
I don't remember....Baba Swalehe hebu muenzi comrade hapa
Jaribu kutimia ceva's theorem.Leta madini chief