ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,378
- 118,786
Ipo hapo angalia vizuri Mwalimu wa tuisheniBwashee hiyo jumlisha mbele ya moja umeitoa wapi..?
Ipo hapo angalia vizuri Mwalimu wa tuisheniBwashee hiyo jumlisha mbele ya moja umeitoa wapi..?
Today's new challengeView attachment 3312747
Ya tatu umekosa! Jibu la swali la Tatu ni 4Hiyo ya kwanza jibu ni 20
Hiyo ya pili jibu ni 96
Hiyo ya tatu jibu ni 6.6
Hata hvy hilo la tatu nilibuni tuu, Mm tofauti na + na - na × sina hesabu nyngn nayoijua 😂😂Ya tatu umekosa! Jibu la swali la Tatu ni 4
Hahahahahahaha.....!Hata hvy hilo la tatu nilibuni tuu, Mm tofauti na + na - na × sina hesabu nyngn nayoijua 😂😂
Umechemka kwenye kumalizia 😹😹Jibu swali la pili.
Bata Ambaruty=20.
yai zege=4.
Ndizi=4.
20+4×4=96.🤸🤸🤸💪
😹😹😹😹 chineeekkkee..!!55 😹