X+ Y + Z =30....(1)Nipewe majibu tafadhari?
Fumbo la 1:
Nina nambari tatu tofauti. Jumla ya nambari hizo ni 30. Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili, na nambari ya tatu ni nambari ya kwanza iliyopungua 6. Je, nambari hizo ni zipi?
❌X+ Y + Z =30....(1)
Y = 2X.......(2)
Z = X - 6......(3)
X + 2X + x -6 = 30
4x -6 =30
4x = 36
X= 9
Y =18
Z = 3
Toa majibu basi.
Umesha ambiwa umekosa fanya upyaToa majibu basi.
Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili😳😳(the first number is twice the seconnd number), I thought its 2x = y my man!Badilisha hapo
x = 2y....(2)
DAh, niliifuta ile comment.Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili😳😳(the first number is twice the seconnd number), I thought its 2x = y my man!
Majibu yake siyo natural numbersHem malizia tyone majibu yako.
Ooh sawa mkuu!!DAh, niliifuta ile comment.
Fikiria hivi... (x/2) = y, yaani nusu ya x sawa na y..
Majibu yake siyo natural numbers
Nambari ya kwanza = 14.4
Nambari ya pili = 7.2
Nambari ya tatu = 8.4
20Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Nipewe majibu tafadhari?
Fumbo la 1:
Nina nambari tatu tofauti. Jumla ya nambari hizo ni 30. Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili, na nambari ya tatu ni nambari ya kwanza iliyopungua 6. Je, nambari hizo ni zipi?
Utajumlisha 27 kila upande ili kuondoa hiyo zerox³ - 27 = 0
Real numbers only
Hapa Tuliofeli mase tunapita kuleeeee 👉👉👉👉👉