10Today morning challengeView attachment 3313791
19Hii ya chamaView attachment 3313793
😁😁Wewe bado akili haijashika kutu, 2012 si juzi tu😅
Hakuna jibu sahihi hapo
Hasa kama umeanza kuwa na majukumu kama familia, aaagr lazima kichwa ile kutu😅😅😁😁
Ni sahihi kabisa, lakini vichwa vimeshaanza kujam.
Very debatable, ila 1 is correct.
Basi kama ni 9 jibu ni 9Ni 9 sio g
24 chekechea nipe heshima yangu
Balaa 😁Hasa kama umeanza kuwa na majukumu kama familia, aaagr lazima kichwa ile kutu😅😅