Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,103
- 29,652
24 chekechea 👶👶👶nipe heshima yangu
24 chekechea 👶👶👶nipe heshima yangu
Jibu ni 14Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Jibu ni 11Hakuna jibu sahihi hapo
Jibu ni 9
SWALI la kwanza =15 answerWajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Kuku, mayai na ndizi jibu ni 38
Hili Jibu ni 43Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Hili Jibu ni 36
Prove it.Jibu ni 11
Kiatu..njiwa..Koni jibu ni 15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
38 😆😆😆✔️Hili Jibu ni 36
9✔️10-4×0+3÷3=
10-4×0+1=
10-0+1=
10+1=11
Niliover look kitu gani sijui.10-4×0+3÷3=
10-4×0+1=
10-0+1=
10+1=11
Hapana amjui hesabu vizuri
Niliover look kitu gani sijui.
Maths ndo ilivyo kitu kidogo tu kinakupoteza usipokuwa makini.
Thanks.
Nimekupata mkuu.Walimu awajui kufundisha magazi juto wao wanadanganya kuwa una anza MABANO kisha GAWANYA kisha JUMLISHA kisha TOA wamemaliza kumba kuna vitu vya ziada hapo
Unaona ilo jibu la 9 wanalo toa watu wengi ni kuto kujua (JUTO) yaani wao wanafuata muongozo wa walimu kuwa una JUMLISHA kisha ndiyo una TOA matokeo yake wana kosa jibu sahihi kwa kuandika 9Nimekupata mkuu.
Mkuu, nafikiri ni kutokuwa makini tu, 0 ni sifuri tu either +ve or -ve.Unaona ilo jibu la 9 wanalo toa watu wengi ni kuto kujua (JUTO) yaani wao wanafuata muongozo wa walimu kuwa una JUMLISHA kisha ndiyo una TOA matokeo yake wana kosa jibu sahihi kwa kuandika 9
10-0+1= wao wana anza kujumlisha matokeo inakuwa 10-1 =9 ❌
😆😆😆Kiatu..njiwa..Koni jibu ni 15
38 😆😆😆✔️
Hata isingekuwa 0 mfanoMkuu, nafikiri ni kutokuwa makini tu, 0 ni sifuri tu either +ve or -ve.
Tumekupata mkuu.
Kwenye hesabu mbali ya kujua pia umakini unahitajika. Unaweza kuwa vizuri lakini kutokuwa makini kukakupoteza.