ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,372
- 118,772
✅️4√2-3√2
√2
Kama miaka yote hiyo hujagusa hizi mambo basi kichwa yako ipo sharp sana
✅️4√2-3√2
√2
Hizi surds huwa zipo kila mahali, kwenye power series kote huko zipo, huwezi kuzisahau kirahisi.✅️
Kama miaka yote hiyo hujagusa hizi mambo basi kichwa yako ipo sharp sana
Mimi hii nishasahau😁✅️
Kama miaka yote hiyo hujagusa hizi mambo basi kichwa yako ipo sharp sana
9=9😁g = 2
Hahaha!9=9😁
15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Mimi mwanzo niliona kama ni 9 hivi jibu nikapata 9 lakini nilivyoangalia tena nikaona kama g hivi, nikaweka 2., hahaha!Sema muandikaji aeleweki hiyo ni g au ni "9" kama ni "g" basi jibu ni 2 na kama ni 9 basi jibu ni 9
Mshana Jr njoo utuambie kwenye ili swali ni 9 au g
8=56
6=30
4=12
?
Ok basi jibu ni 9 ila ilo swali lingeweza kuboreshwa na kuwa tamu zaidi kwa kufanya mambo mawiliIle ni tarakimu ya 9 kwakuwa mtiririko wote hauna herufi
Sawa sawa ..!Ok basi jibu ni 9 ila ilo swali lingeweza kuboreshwa na kuwa tamu zaidi kwa kufanya mambo mawili
Moja ...kupandisha ilo swali kwa kwenda juu pia hapo chini ingekuwa ni herufi tu yaani
X=y yaani hiyo 9 isinge kuwepo lingekuwa gumu zaidi .
Some thing like thisSawa sawa ..!
Wewe bado akili haijashika kutu, 2012 si juzi tu😅Mimi hii nishasahau😁