Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 551
100% ni hasara tu na kupotezeana mda certificate elf20 ulichagua vyuo vi3 leo hii NIT elf30 CBE 25 IfM 20 kuna na vyengine cjui bei gan huko na degree elf50 uliomb vi5 kwa round 5 saiv ni per university tunarud nyuma baada ya kwenda mbele cjui nani ameiroga Africa ttzo kubwa ni kwamba kila anaekaa anakuja na lake hakuna muendelezo wa maendeleo mwenangu amejenga barabara mm najenga kituo cha afya ni vurugu mechi tu amejenga barabara mwengine anakuja anavunja anaanza upya mpaka lini tutaishia kunawa tuSo utakua unakubaliana na mimi kwamba mfumo wa sasa utawaumiza sana madogo
Njia iliyotumika kutatua tatizo haikua ya sawa.100% ni hasara tu na kupotezeana mda certificate elf20 ulichagua vyuo vi3 leo hii NIT elf30 CBE 25 IfM 20 kuna na vyengine cjui bei gan huko na degree elf50 uliomb vi5 kwa round 5 saiv ni per university tunarud nyuma baada ya kwenda mbele cjui nani ameiroga Africa ttzo kubwa ni kwamba kila anaekaa anakuja na lake hakuna muendelezo wa maendeleo mwenangu amejenga barabara mm najenga kituo cha afya ni vurugu mechi tu amejenga barabara mwengine anakuja anavunja anaanza upya mpaka lini tutaishia kunawa tu
Sure dadangu kipind cha kuhama kilikuwepo...hapa serikali imekulupuka tuVyuo vitano na round tano namba imehamia kwenye udahili sasa me nilijua mapema hii ni njia mpya ya kukusanya hela tuTCU walikua na mapungufu yao ila walikua na msaada mkubwa kwa kweli na hata kama waliplka watu vyuo hawavitaki mbona walikuwa wanatoa nafasi ya kuhamia unapopataka
Tatizo liko pale pale,TCU walikua wanapokea 50k tu. Naona serikali imepata sehemu ya kukusanyia pesa.
Njia iliyotumika kutatua tatizo haikua ya sawa.
Kuna haja ya kurudisha mfumo wa CAS na kutafuta njia nyingine ya kusolve tatizo.
Matatizo ya Cas yalikua ni ya kiufundi na inatokea mara chache sio mda wote. Kama ntakua nakumbuka vzr tatizo alilolitaja Mh.Jpm ni kwamba Tcu inawapangia wanafunzi vyuo visivyo na vigezo kana kwamba wamiliki wa vyuo hususan wanahonga tcu ili wapelekewe wanafunzi wajiendeleze mana wao mtaji wao wanafunzi so akawa analaumu kitu kama hicho. Ila hatujui yaliyo nyuma ya pazia, tuseme kweli kwamba kuna vit kama hivyo vilikuwepo ila kwa upande mwingine wengi tu walikua wanachaguliwa katika vile walivyochagua kwa maana pakiwa na aliyepelekwa chuo ambacho hakukichagunia ni wawil watatu kwa upaande wang ni system iliyokua ikisave gharama kubwa zisizo na msingi ambazo hii leo zinakuja tena. Just imagine mwanafunz anaish Kigoma anataka kuapply udsm labda pawepo na mifumo ya kuapply online lakini hilo litasave nauli peke yake je gharama za application nazo vip? So utakuta gharama za ajab ajab nyiiiingKwa upande wangu mimi sijaona tatizo la CAS lilikua nini wakati kabla ya kuselect chuo unachotka kuna statement inakuambia unachochagua kiwe right choice kwa maana ata ukapelekwa chaguo la mwisho emechagua utakuwa uchizi unachagua medicine huna vigezo na huipendi unaieka tu au vigezo unavyo ila huipendi unaieka bahat nasibu umepewa hiyo unamlaumu nani wakat umechagua muhimu umepata chuo na course hamia unayoitaka nafac zipo wazi kuna watu wanafkir kama huu mfumo watu hawatoachwa watatemwa sana tu kutokana na kujaa kwa wanafunz na huezi kujua wanataka watu wangapi na wameomba wangapi nisiri yao tu utaomba watachukua kiasi chao wengine watakaa pembeni udahili umefungwa unasubir mwakan
Kwa upande wa mattzo ni nunga mkono hoja ila pia haikua kikwazo mana walitoa nafac za kuhama bure kabisa Mungu ndo anajua yanayoendeleaMatatizo ya Cas yalikua ni ya kiufundi na inatokea mara chache sio mda wote. Kama ntakua nakumbuka vzr tatizo alilolitaja Mh.Jpm ni kwamba Tcu inawapangia wanafunzi vyuo visivyo na vigezo kana kwamba wamiliki wa vyuo hususan wanahonga tcu ili wapelekewe wanafunzi wajiendeleze mana wao mtaji wao wanafunzi so akawa analaumu kitu kama hicho. Ila hatujui yaliyo nyuma ya pazia, tuseme kweli kwamba kuna vit kama hivyo vilikuwepo ila kwa upande mwingine wengi tu walikua wanachaguliwa katika vile walivyochagua kwa maana pakiwa na aliyepelekwa chuo ambacho hakukichagunia ni wawil watatu kwa upaande wang ni system iliyokua ikisave gharama kubwa zisizo na msingi ambazo hii leo zinakuja tena. Just imagine mwanafunz anaish Kigoma anataka kuapply udsm labda pawepo na mifumo ya kuapply online lakini hilo litasave nauli peke yake je gharama za application nazo vip? So utakuta gharama za ajab ajab nyiiiing
stashahada ndo confusion kabisa, NACTE wanataka wapewe 20,000 za application na chuo wanataka za kwao, hizo zote zitamuangukia mlaji ambae ni mwanafunziMkuu hizo gharama ulizozitaja ni kwa ajili ya maombi ya shahada ya kwanza au ni za stashahada na astashahada ?
Nawaonea huruma wadogo zangu ambao sasa hiv ni tumbo joto kusubir matokeo.Kwa upande wa mattzo ni nunga mkono hoja ila pia haikua kikwazo mana walitoa nafac za kuhama bure kabisa Mungu ndo anajua yanayoendelea
Kuna wagogo wangapi wanaoweza kuijaza UDOM?Wangapi wanaishi mikoa yenye vyuo ili iwe kama unavyosema?
Wakat wengi wakitazamia kujiunga udsm wahitimu wangap wanaoishi Dar?
Umejitahidi kuandika ila kwa upande wangu naona hamna mantik au labda unieleweshe vzr kwa kunijib maswal yangu hayo
Hawawez kuijazama wagogo peke yao.Kuna wagogo wangapi wanaoweza kuijaza UDOM?
kuna taasisi binafsi zina mavyuo mengi na mitaji mikubwa CAS ilikuwa inawabana kuchakachua ili kujaza vyuo vyao, sasa wamepata fursa ya kufanya hivyo subiri uone. Hawa ni watu ambao serikali imewasamehe kodi kwenye mambo mengi sana, hivyo watasomesha wanafunzi weeengi kwa gharama nafuu zisizokuwa na kodi ndani yakeMatatizo ya Cas yalikua ni ya kiufundi na inatokea mara chache sio mda wote. Kama ntakua nakumbuka vzr tatizo alilolitaja Mh.Jpm ni kwamba Tcu inawapangia wanafunzi vyuo visivyo na vigezo kana kwamba wamiliki wa vyuo hususan wanahonga tcu ili wapelekewe wanafunzi wajiendeleze mana wao mtaji wao wanafunzi so akawa analaumu kitu kama hicho. Ila hatujui yaliyo nyuma ya pazia, tuseme kweli kwamba kuna vit kama hivyo vilikuwepo ila kwa upande mwingine wengi tu walikua wanachaguliwa katika vile walivyochagua kwa maana pakiwa na aliyepelekwa chuo ambacho hakukichagunia ni wawil watatu kwa upaande wang ni system iliyokua ikisave gharama kubwa zisizo na msingi ambazo hii leo zinakuja tena. Just imagine mwanafunz anaish Kigoma anataka kuapply udsm labda pawepo na mifumo ya kuapply online lakini hilo litasave nauli peke yake je gharama za application nazo vip? So utakuta gharama za ajab ajab nyiiiing
Imagine umekosa vyote ulivoapplyK
Kuapply chuoni direct bado Ni rahisi , assume umeapply vyuo vitatu vyenye application sh 35,000 per chuo *3 equal to 115,000 - tcu gharama 50,000equal to 65,000 incremental cost , mtu aliyeapply direct amechaguliwa vyuo vya mkoa anaoishi, eg DSm, so there no need of bus fares, mtu wa tcu amepelekwa songea , nauli ya songea 32500 *2 equal to 65,000, so tcu root and direct appl all have 115000, incremental Ni zero kwa likizo moja Tu. Nategemea utasafiri songea zaidi ya mara tano mpaka unamaliza chuo , kwa hiyo 32500 *2*4equal to 260,000 loss (cost to tcu appl channel or saving to direct to school appl channel , kwa hiyo sio kweli kwamba ukiapply via tcu ni rahisi kuliko direct ,hapo sijaweka hidden cost mfano kuchoka ,etc
Hilo nalo tatizo linginekuna taasisi binafsi zina mavyuo mengi na mitaji mikubwa CAS ilikuwa inawabana kuchakachua ili kujaza vyuo vyao, sasa wamepata fursa ya kufanya hivyo subiri uone. Hawa ni watu ambao serikali imewasamehe kodi kwenye mambo mengi sana, hivyo watasomesha wanafunzi weeengi kwa gharama nafuu zisizokuwa na kodi ndani yake
Ndugu yangu ondoa hii imani iliyojaa kwenye mawazo ya watanzania wengi "ukiona mtu ana mtazamo tofauti na wewe mnasema ametumwa" kadri miaka inavyoenda akili na uelewa wa watu hasa vijana unapungua.Wengine humu wametumwa hili waitete TCU. Unajua kulikuwa Na mirija ya kupiga pesa za govt, kwa hiyo usishangae mkuu