Mate ya mpenzio...

Mate ya mpenzio...

Not well thought query, it is a common practice to exchange saliva when kissing, however that depends on the context (what are u doing, why and where?)....at bedroom, outside in public, etc are you marrying, meeting after long time, welcoming or DOING.... SO THE QUANTITY saliva WILL DETERMINED WITH SOME OF THOSE ISSUES AFOREMENTIONED.
 
hiyo ni inshu nyingine na nakua nimepoteza maana na uhalisia wa kile kitu cha mwanzo
 
mke na mme wataacha wazazi wao watakuwa mwili mmoja mate nayo ni part ya maisha yao
 
Nof.ckingway, kissing sio kwa ajili ya kula saliva; ni kwaajili ya kufeel those hot lips na tongue; kama ni mate basi yangeuzwa hata super market!

Na kissing mara nyingi ni automatic, si yakujipanga kuanza kukinga mate kwenye kikombe Boflo!
 
Last edited by a moderator:
aaah Boflo Bwana ..ngoja nikucheki kwanza ..mida mida hahah
 
Last edited by a moderator:
mi nabwia tu hahahahahah,hapa nilipo nahisi kutapika kabisa hahaahh
 
Kwi kwiiiiiiii yani kiroho safiiii kabisa mada zako Boflo huwa zinanichekesha sanaaaaaaaaa !

Hivi huwa unawaza nini aiseee???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back to topic...

Kama anauwezo wa kuyatoa hata lita through kissing hyo poa... Hamna tabu jombaa.

BTW hata yako mwenyewe yakiwa kwa kikombe Boflo waweza kunywa kweli????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku demu wangu kabwia maji mdomoni kanichukua mdomo wangu yale maji yake akanimwagia mimi mdomoni kwangu.
Nilijuta. Mbona niliyanywa huku adrenalin zangu ziki-pump ka nimeona simba mbele yangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom