Mate ya mpenzio...

Mate ya mpenzio...

Kwani kule tiGoni sometimes mdomo si huwa unapita?so ukipewa product ya kule kwenye sahani utaila?
 
nimehisi kutapika niliposoma hiyo post 🙁. how does Boflo's mind work, ana switch from sane to insane very quickly lol.
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku demu wangu kabwia maji mdomoni kanichukua mdomo wangu yale maji yake akanimwagia mimi mdomoni kwangu.
Nilijuta. Mbona niliyanywa huku adrenalin zangu ziki-pump ka nimeona simba mbele yangu!

Tripo9 bhana! acha hizo mbona safi sana hyo halafu alitakiwa ayarudishe mdomoni kwake tena aanze kukupa kwa matone matone!! tena kitu Wine ndo mzuka balaa...
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh Boflo jamani kama kawaida yako aisee ngumu hata kumeza kwa kuimagine sijui kiukweli itakuwaje???????
 
Last edited by a moderator:
Tripo9 bhana! acha hizo mbona safi sana hyo halafu alitakiwa ayarudishe mdomoni kwake tena aanze kukupa kwa matone matone!! tena kitu Wine ndo mzuka balaa...
Ptuuuuu! koh koh koh koh, koh koh pwaaaaa! pfuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Unanikumbusha demu mmoja nilitaka nimpige romance akatoa ulimi wote na kuachama mdomo ile namsogelea si akaniponga na meno yake kwenye lipsi zangu ,kah! Nilijutaje nikavumilia maumivu sikumwambia kama kaniumiza.
 
Kwi kwiiiiiiii yani kiroho safiiii kabisa mada zako Boflo huwa zinanichekesha sanaaaaaaaaa !

Hivi huwa unawaza nini aiseee???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Boflo anafanya kazi kwenye internet cafe' kwaiyo mda mwingi anachezea "google" na hii ndio aftermath..:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Ok kweli i am your teacher, Tripo9 umenikumbusha wimbo wa mr ebbo (R.I.P.)

Why not?! Nahitaji ticha ka wewe unauliza wanafunzi ili kupata mlisho nyuma.
Mi niko poa aluu, jua kali tu Bongo kama pasi.
 
Last edited by a moderator:
KUNGURUHAFUGIKI hao watu washamba hivyo umawakuta wapi jamani?
kuna siku wataondoka na ulimi mzima mzima.

Unanikumbusha demu mmoja nilitaka nimpige romance akatoa ulimi wote na kuachama mdomo ile namsogelea si akaniponga na meno yake kwenye lipsi zangu ,kah! Nilijutaje nikavumilia maumivu sikumwambia kama kaniumiza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom