Mate si ni yaleyale

Mate si ni yaleyale

Huwa mara nyingi najiuliza na pengine wapo ambao watakuwa na swali kama langu, kwa wale waliooa, inapokuja kwenye suala la kushiriki mapenzi na hata kitendo cha kubusiana huwa mke na mume wanashirikiana hata kushare mate na wala hakuna anayeena vibaya au kichefuchefu, lakini je iwapo mkeo au mumeo akiamua kutema mate kwenye kikombe au kijuko na kukwambia uyalambe, sidhani kama kuna mtu atakubali kufanya hivyo wakati mate ni yaleyale, sijui wengine mnaonaje?
Umenichefuuuua
 
Watu wanaenda hadi uvinza ya 0712 sembuse mateeee.?!

bora na wewe useme, mate tu..wala si tabu ati...watu wanaburudika huko uvinza, wengine hadi 0714 wanaenda, sembuse mate..lol
 
hahahaha mwallu usizuge wala nini.
 
Last edited by a moderator:
Ahh jmn mmenichekesha sana, ahh kipindi kile tunafanya food taste mashuleni, tuliambiwa tuteme mate kwenye vile vi taste tube aiseee yaani ukiona mwenzio tu anatema mate unatamani kutapika, ndo sembuse kuyanywa yaliotemwa na mwingine? Oohh please!
 
Wewe utakuwa unatumia simu ya mchina maana mtumiaji wa simu ya kichina mawazo yake ndiyo kama haya.
 
Umenifanya nijiskie kinyaa mpaka moyo unauma
Mmmmmh!!!!! Ptuuuuuuuu...
 
Sio kila mtu anakula mate, wengine french kiss ni kama kituo cha polisi kwa wauza gongo.
 
Mkuu si ungekausha tuu uendelee kuchangia thread za wenzako? Dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom