Matatizo ya micro sd card na ufumbuzi wake ni hapa

Matatizo ya micro sd card na ufumbuzi wake ni hapa

mlude-go

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
118
Reaction score
9
wakuu habari zenu,napenda kuleta ka uzi haka kwenu ili nipate mualobaini wa matatizo haya yahusuyo sd card.ninatumia simu huawei y 530 pia nina sd card 8 GB,tatizo ni kuwa nasumbuliwa sana na setting pindi niwekapo sd card as default inakubali lkn ninapoendelea kutumia baada ya muda yaweza chukua masaa hata siku hiyo setting hujibadirisha na kuwa ktk internal storage.hapo awali sikua na tatizo kama hilo nilipokua natumia 4GB sd card ambayo ilijifia humo humo kwenye hiyo simu wakati Nina delete files and transfer ed. ombi langu nini kifanyike ili niondokane na usumbufu huu?
asante nawasilisha.
chief mkwawa
 
unatumia sd card class gani? sina uhakika ila inawezekana apps zikiona sd card ipo slow zikatae kueka mafile yake. icheki juu hio memory card kuna namba imezungushiwa duara?
 
Yawezekana hiyo simu ina tatizo la kusoma sd card ndo maana ikishindwa kupeleka info kwenye sd card inajichange setting kwenye storage
Tatizo hili husababishwa hasa na vichuma vinavyosoma sd card kupinda au kukatika binafsi nimekutwa na tatizo hilo mpaka sasa sd card nimeiweka pembeni mpaka nichange sd card slot
 
mkuu chief-mkwawaimeandikwa micro sd card HC made in taiwan
mkuu muangila hizo card slot si zinapelekea memory card isiweze kusomeka kabisa?
 
mkuu chief-mkwawaimeandikwa micro sd card HC made in taiwan
mkuu muangila hizo card slot si zinapelekea memory card isiweze kusomeka kabisa?

mkuu swali alilokuuliza CHIEF MKWAWA lamsingi sana kwenye hiyo sd card huwa kunakuwa na na namba imeandikwa na kuzungushiwa herufi C hiyo namba huwa ndani ya hiyo herufi C.

kuna thread moja ipo humu inazungumzia suala hilo
 
Last edited by a moderator:
mkuu chief-mkwawaimeandikwa micro sd card HC made in taiwan
mkuu muangila hizo card slot si zinapelekea memory card isiweze kusomeka kabisa?
Kweli mkuu sd card slot inaweza kuwa inasoma card na wakati mwingine card ikawa haisomi ila mwisho wa siku hushindwa kabisa kusoma
 
Back
Top Bottom