mr marvelous
Member
- Oct 28, 2016
- 43
- 19
Nunua ya TCl hazinaga na matatizo
Hizi TV zene king'amuzi zipo vipi? Zinafanyaje kazi na unapata channels zipiMi nina Boss 40" na ina kingamuzi cha bure ndani, toka 2013 haijawahi nisumbua, saiv kuna tv zinaitwa STARX LED zina king'amuzi ndani, nzuri sana na ni affordable price kuna jamaa yangu
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe utakua fundi wa chogo.
Inch 15 tv au aipadMkuu acha sonny mm Nina tandar ya kichina nch. 15 miaka miwili sasa. Ni matumizi yako tu.
Habr umenigusa kidg hapa nipe uelewa na mimi piaTafuta simu ya LG kuna apps unadownload unakua na remote ktk simu yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MkuuuuNilikuwa na sony bravia ili heat screen ikaungua kabisa, nimerudia chogo langu.
ni kwamba hizo tv chogo zinatengenezeka kirahisi tu ,ila nazo hazijambo kwa kuharibika maana matengenezo mengine ikizingua inapigwa makofi ya haja inawaka.mkuu hizo story tu, mbona hata hizo za tumbo zinaharibika.
Mkuu unapatikana sehemu gani?mimi nipo darHata nje kwa taarifa ako wanabadili kad nzma, hii ni kutokana na complications za technology ya smd.
Yan vifaa vdogo mno hutumika ambapo unahtaj mitambo mikubwa ama robots kupachka components.Na hii Ndiyo sababu hasa ya kutoleta Spea zake na badala ake kad nzma(circuit)..
Hata mm naitumia naipenda haina makuu.naiombea kwa mungu isizingue tuu.ila naona kama TV za kuweka ukutani zinasumbua sana naona zinapata sana joto haswa kama ukuta uko jua linakuchoma .Mm nina Star-X 32inch nmeitumia miaka miwil na nusu saiv na haijawah kunisumbua kwa namna yoyote ile!!
Naunga mkono hoja...nmenunua LG Genuine haijawahi hata kufikiria kusumbua huu mwaka wa 4Unanunua kkoo imeandikwa Sonny Bravi, wewe unajua Sony Bravia, siku mbili limekufa unaanza kulalamika. Tuwe na tendency ya kugharamika kupata vitu genuine.