Matatizo ya Flat Screen TV: Umeishakumbana nayo?

Nina samsung 32" flat screen ni mwaka wa pili sasa na ninaiangaliaga kwenye umeme sinaga hata stabolizer flat screen is the best
Kwa huyo fundo sasa hivi vitu vimebadilika ukihitaji kitu unaorder online kama bado anazo hizoalizokosa vifaa aniimbox nimwelekeze jinsi ya kupata vifaa
 
Ya kwangu Samsung led TV flat screen 48 inches iliweka mistari katikati ikawa haionyeshi picha ni sauti tu nimeiweka stoo tu nilirudisha dukani ilikua na guarantee walinizungusha Mara subiri tuitengeneze, Mara tumeagiza sijui mkanda Dubai, Mara leta 900 tuagize screen hii umepasua! Ndo maana wino unamwagika duh! Hadi nikaamua kuichukua na kuiweka store.
Pole sana mkuu
 
Mimi nina Star -X nimeambiwa ina king'amuzi ndani je nifanyaje niwe naona hizo channel maana sielewi kitu kabisa na sina king'amuzi
 
Nina samsung 32" flat screen ni mwaka wa pili sasa na ninaiangaliaga kwenye umeme sinaga hata stabolizer flat screen is the best
Kwa huyo fundo sasa hivi vitu vimebadilika ukihitaji kitu unaorder online kama bado anazo hizoalizokosa vifaa aniimbox nimwelekeze jinsi ya kupata vifaa
Suala la spea ni uvivu na kukosa ubunufu kwa mafundi. Hilo la kukosa IC ni kwa electronics nyingi original
 
Zinapatikana mbona online ilimradi tu ujuwe jina la unachokitafuta kama ni IC ujuwe namba na manufacture
 
ah ah sasa buraza unataka ishi na tv hadi uzikwe nayo/...utamu wa flat technology bana ndo maana wenzio wanaamia kwenye curve tv
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Tatizo la kupatikana spea hususan IC ni la karibu electronics zote original. Nashani mafundi sio wabumifu. Unapaswa kuagiza kiwandani lakini mmejikita katika kubadili maahine tu na kuweza za kichina. Je ikiuharibika fridge au hifi system utapata wapi mashine?
 
Mkuu vifaa Vingi vya electronic nimejaribu kwa uchunguzi si wa kina sana kwa mfano hivi vya kichina madukani maisha yake ni mwaka 1 warrants kikiendelea kuishi furahia,nchi nyingine tofauti na original ya brand husika mf. Sony japan,ukiipata ya Pakistan,Hungary India unakuta warrant ni 2years lkn kwa brand hiyo kutoka Japan au Europe inaweza ikawa 5yrs pia yaweza zidi hata 10 lkn mkuu wewe hitajio lako naona unataka TV uitumie ww,mtoto mpaka mjukuu na kiwanda kitakufa kuwa na upendo na maisha ya wengine.
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Sio issue mafundi wengi wa bongo ubabaishaji tu na ujanjaujanja tu,niliwahi peleka flat yangu kwa Fundi ilizima ghafla iliporudi ukiiwasha watu wrote wamebinuka sarakasi huku ikionesha nusu kioo.
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Kiongozi ntapata kioo cha tv tcl 32'
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Mafundi mmeridhika mmekosa ubunifu tatizo la IC kutopatikana ni la electronics karibu zote original sio tv pekee. Hamfanyi jitihada za kuagiza toka kiwandani mnakimbilia kuweka mashine za kichina Hivi ikiharibika fridge au hi fi system mtapata wapi mashine ya kuweka?
 
Mkuu vifaa Vingi vya electronic nimejaribu kwa uchunguzi si wa kina sana kwa mfano hivi vya kichina madukani maisha yake ni mwaka 1 warrants kikiendelea kuishi furahia,nchi nyingine tofauti na original ya brand husika mf. Sony japan,ukiipata ya Pakistan,Hungary India unakuta warrant ni 2years lkn kwa brand hiyo kutoka Japan au Europe inaweza ikawa 5yrs pia yaweza zidi hata 10 lkn mkuu wewe hitajio lako naona unataka TV uitumie ww,mtoto mpaka mjukuu na kiwanda kitakufa kuwa na upendo na maisha ya wengine.
Hapana mkuu hata nikitumia miaka 5 inatosha. Sasa watu wakisema kumaliza miaka 2 ni tatizo lazima niwe na hofu. Utoe milioni 1 kitu utumie mwaka 1 basi? Mbona hifi zinakaa hata miaka 10?
 
Hizi akili za kimaskini ni tatizo!Yaani eti mtu anafurahia kukaa na tv muda mfupi ili anunue nyingine!Kwa hiyo ndio kusema hamtaki vitu durable kwa sababu za kijinga kama hizo?Mimi nilinunua Hitachi tv mwaka 1999 hadi leo ipo inafanya kazi vizuri na haijawahi hata kuonyesha hitilafu yoyote japo ninatumia LG kwa sasa.Ningependa hata kama nitaibadili isiwe eti imeharibika!Kwa akili matope ninayoiona naamini mavitu feki hayataisha hapa nchini.Kuna watu wajinga sana hapa
 
  • Thanks
Reactions: mij
Ha ha ha ha. Mkuu tunetofautiana.
 
Back
Top Bottom