Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,592 Reaction score 14,217 Jun 19, 2019 #121 Brand ni yakuzingatia sana haswa kwa watumiaji wakubwa, mfano kwenye baa, hotel nk Brand nyingi za kichina ni shida, life span yake ni ndogo sana
Brand ni yakuzingatia sana haswa kwa watumiaji wakubwa, mfano kwenye baa, hotel nk Brand nyingi za kichina ni shida, life span yake ni ndogo sana