Matatizo uliyowahi kukutana nayo kwenye daladala

Matatizo uliyowahi kukutana nayo kwenye daladala

dala13.jpg
.
 
Usinikumbushe aisee. Siku moja nasafiri kwenda singiza tokea dar. Ambako girlfriend wangu(mke wangu kwa sasa) alikuwa amejifungua mtoto wa kiume, nikabeba mazaga kibao na pesa ambayo nlipewa na jamaa yangu maana nlikuwa sijapata kazi bado. Nikaweka kwenye pochi mfuko wa nyuma. Ile nashuka stend hivi mzigo wote na pochi umetembea. Yaan hata bajaj aliilipa dem wangu maana yy alikuwa mwalimu tayari wale voda faster. Ilibidi hadi nauli ya kurudia aitoe yeye
 
Nakumbuka zamani flani nimekaa siti ya kati afu nyuma yangu wamekaa wadada 2 wamevaa ninja.basi mmojawapo akanipa simu yake nikataka kuuliza kitu nikasita kwanza!kuangalia ktk skrin ameandika naomba namba yako.nikamuandikia nikampa simu yake!baadae ananipigia hiyo sauti sijawahi iskia toka dunia imeumbwa!duuuhhh akaniambia njooo sehem flani tuongee hata hajakata simu nimeshafika!aseee sijawahi kuona limama bomba kama hilo huo wanja na mahina yamepakwa kila mahali.duuuhh yaani tunaongea mi nimedisa tu mda wote!asee lile limama kesho yake likanipa mzigo!si nikaliganda aseee nikawa km nimechanganyikiwa vile!siku hiyo akaniambia anasafiri nikamuuliza wapi!eti yeye anaishi baharini mi nikajua bahrain kule arabuni.likaniambia mi ni jini!!!aseee usain bolt chamtoto!nilipotea kama mzuka vile.dissapear like ghost


ulimla tigo huyo jini? adden
 
Mimi juzi nilipanda daladala buguruni kwenda kariakoo sikupata seat lakini kuna Dada mmoja aliniachia seat yake nikakaa na mimi katika kulipa fadhila wakati konda anapita kudai chake nikatoa hela nikamlipia na yule Dada,kumbe alikua na mumewe aliliona lile tukio si ndiyo jamaa akahamaki na kuanza kunikunja na kutaka kunipiga hadi abiria wenzangu wakaniamulia
 
Halafu sipedagi mtoto aliyevalishwa hirizi,,,siku Niko kwa gari nikamsaidia mama mtoto kumbe kavaa bonge la hirizi bana mkononi,,,weeee nilihaha ili watu wajue sio wangu,,kila saa najisemesha mama yuleeee,,,huku nazuia niliniguse,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.0 Nakumbuka mwaka jana nlipanda daladala za kutoka kariakoo kwenda tandika, mimi nlikua nampango wa kushukia keko basi bhana kufika pugu road kukawa na foleni sana kwenye mataa ya pale nikasinzia kuja kushtuka nikahisi nimepitilizwa kituo nikamuomba konda anishushe faster lahaula kumbe foleni ilikua ile ile ila wenge tu la usingizi ikabidi nizuge kama nnampango wa kwenda mkuki house pale ili kuua soo,
2.0 kama kawaida nlipitilizwa kituo kutoka mabibo kwenda sinza, nikajikuta nipo mwenge kisa kusinzia.
3.0 niliibiwa nauli 2007 pale ubungo ikabid nimuombe mzee mmoja akanipa kilichonisaidia ni unfrm za skuli
 
Kuna siku nilipanda daladala nikakuta mkaka huyo akapisha nikae dirishani jamani alikuwa anatoa harufu huyo mwili mpaka
ngoja utazani anaishi dampo nilitaka kushuka njiani kumbe naye anashuka hapo hapana sijui anamke yule kaka
halafu yupo na wenzie sijui hawamwambii, hapo ni mtoni mtongani - ddc akashuka nilikuwa hoi sijui anaishi kwenye mitaro ya maji taka![emoji18] [emoji18]
 
Yale mnayoyaona Matatizo kwangu ni raha tu.

Hebu fikiria Daladala imejaa, mmebanana, halafu Mrembo sehemu za Mwili wake zinakugusa gusa, unapata kajoto fulani.

Mara Mrembo mwingine Manyonyo yanaonekana kwa juu.

Mara kona kali Mrembo anashindwa kujizuia inabidi akulalie, mie naonaga raha sana.

Ndio maana kama Daladala imejaa halafu Mimi nikiwa nimesimama, akitokea Mtu kushuka na Mimi niko karibu na Mtu anaeshuka, naangalia kwenye ile SITI pembeni amekaa na nani, kama ni NJEMBA tupu hunikalishi kwenye ile SITI. Ila kama kuna Mrembo ujue wewe wa mbele yangu ukijipendekeza nakupa kikumbo kisha nawahi Mimi kukaa na Mrembo.

Daladala raha sana,

Siku moja tumo kwenye Daladala Jamaa akawa anaongea na Simu na Mpenzi wake, na maongezi ya Jamaa yakawa kama hivi:-

"Uko wapi?"

"Unafanya nini?"

"Umepika nini?"

"Umevaa CHUPI rangi gani?"

Ebwana alipofika hapo kwenye "Umevaa CHUPI rangi gani?" Abiria wote tuliobahatika kuyasikia Mazungumzo ya Jamaa utafikiri tuliambiana, maana wote tulicheka kwa pamoja.

Asikudanganye Mtu DALADALA ina raha yake.

Acha tu
 
Muda umepita kidogo, nilipanda daladala ya Temeke - T/Kimanga. Mvua kubwa sana ikaanza kunyesha. Ile daladala nilikuwa kama kama niko chini ya mti tu inavyovuja. Toka TAZARA hadi Kimanga 'tunaoga' tu bila sabuni.
 
Mimi juzi nilipanda daladala buguruni kwenda kariakoo sikupata seat lakini kuna Dada mmoja aliniachia seat yake nikakaa na mimi katika kulipa fadhila wakati konda anapita kudai chake nikatoa hela nikamlipia na yule Dada,kumbe alikua na mumewe aliliona lile tukio si ndiyo jamaa akahamaki na kuanza kunikunja na kutaka kunipiga hadi abiria wenzangu wakaniamulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hiyo nlisahau wallet bhnaa alafu kondaa kaniganda balaa...ikabdi jama flani anilipiee siji kusahau aisee..!! Ilaa yule konda nkasemaa kila nikipanda gari lake Nitampa 10000 hata iwee asubuhii ili mradi Asumbuke tu chenjii... Na nilimfanyia hivyo karibu mara 4 mpakaa akasema jamaa unanikomoaga au nkaonaa eehe shubamiit...
Ulilipiwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom