Matatizo uliyowahi kukutana nayo kwenye daladala

Matatizo uliyowahi kukutana nayo kwenye daladala

Kuna siku bado kidogo nipigwe..gari ilikua nyomi nataka kushuka naomba kupita watu kama hawasikii vile..hakuna hata wa kusogea..nilichofanya nilipita kinguvu uku nawasukuma na kuwakanyaga na nlivyo bonge walijuta
Kwa nini hujapita kiupande upande.!
 
hahaha
 
Kuwekewa kwapa kwenye pua

Ukiwa mfupi ni tabu kuna siku mbaba ameniwekelea kwapa lake kwenye pua yangu,yaaani nilikuwa naona kiza kama nakata roho,

Siku nyingine daladala za gongola mboto nikaingilia dirishani kuna mkaka akanivuta kwa ndani....
hahaha hiyo ya kwapa asee ni kelo, pole kwa kukutana na warefu wanaonuka kwapa
 
Kwa nini hujapita kiupande upande.!
Kwajinsi nlivyo hata kama ningepita upandeupande bado ningewakera tu..ilitakiwa twende kwa mfumo wa kupishana..wao wakajifanya hawaelewi
 
Kusinzia halafu nilivoshtuka nikahisi gari inarudi nilikotoka,,Kumbe ni wenge
hata mimi kuna siku nimelala kwenye gari (daladala) ile nashtuka nakuta watu wote wameteremka na konda hakunishtua, nilipatwa na wenge balaa maana nilikuwa nimechelewa job
 
Nakumbuka zamani flani nimekaa siti ya kati afu nyuma yangu wamekaa wadada 2 wamevaa ninja.basi mmojawapo akanipa simu yake nikataka kuuliza kitu nikasita kwanza!kuangalia ktk skrin ameandika naomba namba yako.nikamuandikia nikampa simu yake!baadae ananipigia hiyo sauti sijawahi iskia toka dunia imeumbwa!duuuhhh akaniambia njooo sehem flani tuongee hata hajakata simu nimeshafika!aseee sijawahi kuona limama bomba kama hilo huo wanja na mahina yamepakwa kila mahali.duuuhh yaani tunaongea mi nimedisa tu mda wote!asee lile limama kesho yake likanipa mzigo!si nikaliganda aseee nikawa km nimechanganyikiwa vile!siku hiyo akaniambia anasafiri nikamuuliza wapi!eti yeye anaishi baharini mi nikajua bahrain kule arabuni.likaniambia mi ni jini!!!aseee usain bolt chamtoto!nilipotea kama mzuka vile.dissapear like ghost
Mpafu ww si tuko serious wewe unatupa Bongo movie
 
Kuna siku bado kidogo nipigwe..gari ilikua nyomi nataka kushuka naomba kupita watu kama hawasikii vile..hakuna hata wa kusogea..nilichofanya nilipita kinguvu uku nawasukuma na kuwakanyaga na nlivyo bonge walijuta
Haaaaaahaha dadeki kwamba ilikua hamna namna
 
Kwajinsi nlivyo hata kama ningepita upandeupande bado ningewakera tu..ilitakiwa twende kwa mfumo wa kupishana..wao wakajifanya hawaelewi
Inabidi ufanye sana mapenz na mimi kupunguza mwili huo.
Check pm afu utanitafuta
 
Enzi hizo za Scandinavia,tangu Dar hadi Mbeya wimbo mmoja tu ndo uliokuwa unapigwa wa Stara Thomas Bure mtakunywa sumu mfe huku mnaona,sababu ni dereva kuupenda sana wimbo ule na yeye ndo alikuwa na redio karibu ulipigwa mwanzo mwisho
 
hata mimi kuna siku nimelala kwenye gari (daladala) ile nashtuka nakuta watu wote wameteremka na konda hakunishtua, nilipatwa na wenge balaa maana nilikuwa nimechelewa job
Hahaaaaa,,,unaweza kimbia afu ukafunga break kwa aibu
 
Enzi hizo za Scandinavia,tangu Dar hadi Mbeya wimbo mmoja tu ndo uliokuwa unapigwa wa Stara Thomas Bure mtakunywa sumu mfe huku mnaona,sababu ni dereva kuupenda sana wimbo ule na yeye ndo alikuwa na redio karibu ulipigwa mwanzo mwisho
hahaha...hapo aliwaweza
 
Hahahaha..

Hahaha ila una vituko. Afu hapo ndio ukute toto limekupenda halimtaki mama yake tena.
Mimi mtu akinipa mwanae ambaye ana hirizi simbebi labda nimshike kwa sekunde tu.
Na wanangu hiriizi nope
Sekunde mkuu si ulishambeba tayari
 
Kuwekewa kwapa kwenye pua

Ukiwa mfupi ni tabu kuna siku mbaba ameniwekelea kwapa lake kwenye pua yangu,yaaani nilikuwa naona kiza kama nakata roho,

Siku nyingine daladala za gongola mboto nikaingilia dirishani kuna mkaka akanivuta kwa ndani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya kuwekewa kwapa kwenye pua ndiyo iliyonimaliza, Vipi lakini ulifika salama uendako?
Hukupata madhara yoyote?
 
Siku hiyo nlisahau wallet bhnaa alafu kondaa kaniganda balaa...ikabdi jama flani anilipiee siji kusahau aisee..!! Ilaa yule konda nkasemaa kila nikipanda gari lake Nitampa 10000 hata iwee asubuhii ili mradi Asumbuke tu chenjii... Na nilimfanyia hivyo karibu mara 4 mpakaa akasema jamaa unanikomoaga au nkaonaa eehe shubamiit...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom