BULICHEKA 2o2o
Member
- Oct 20, 2019
- 61
- 76
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani nilikuwa najua sisi humu jamii forum tukipewa nchii hii tunaweza tukaiongoza kumbe bado kuna wajinga
kimsingi ni kwamba nimeweka fedha kwa ajili ya kununua umeme,nikiwa kwenye harakati msg unaingia ya muamala mara simu inaita kupokea huyo mtu anasema mteja wake katuma fedha kimakosa na tigo wamefunga line yangu siwezi toa fedha hadi nimerudisha hiyo fedha.kufanya hivyo ndiyo nimeibiwa jamani.Kimsingi wewe ndio umejitapeli.Utamtumiaje mtu pesa bila kuhakiki kama ni kweli? Uliona ana namba mbili hushtuki halafu hata kumdodosa kidogo.
Hata haja ya kucheki balance haikuwepo.Message za miamala kwenye simu yako zinaingia kwa jina la M-pesa,Tigopesa,AirtelMoney n.k.Ila mtu akikufanyia huu mchezo hiyo SMS ya muamala itaingia kwa namba ngeni kwenye simu yako.Hata hukuangalia salio? Kuna watu mna hela aisee
Hahahaha na analalamika kabisa nimecheka sanaZamani nilikuwa najua sisi humu jamii forum tukipewa nchii hii tunaweza tukaiongoza kumbe bado kuna wajinga