Matani ya Watani zetu.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Reposted....

Mod.. mliondoa hii kwa nini? ondoeni tena....

Si unajua wakenya wananyoongeaga kiswahili, hebu ongea kama wao ukisoma hii....

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU’ hii hao (HOUSE) ni noma.

3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia “wee iba tu Mungu
anakuona.”

5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.
7. We mjinga mpaka ulifail blood test.

8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/MTINDI) .
10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa.

11. Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda(baba) yenu hajui majina mpaka huwa
address kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA HOTUBA)

13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.

15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror(movie ya kutisha) Hollywood.

17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao(house) kuna round-about.

19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (WAJINGA) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.
20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

21. Mko wengi kwa hao(house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam
.
22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie
parachute.

23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ..ati Munatuona jamani?

24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.

25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening?

26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt

27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate

29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang(ning’inia) kwa frame.

31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News(watangazaji wa habari) wame piga magoti.

32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti ime kauka.

33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers(malapa) .

34. Budako(baba yako) ni mjinga, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.


 
wachekeni tu, wenzenu ndo wafaidikao na lugha ya Kiswahili
<br />
<br />
kweli tupu mkuu wapo kwenye ma internatinal xcul kibao wanafundisha watoto wa tanzania kiswahili, hiyo mifano yao usiombe uisikie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom