Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
hapo buji umenena...hasa wale ndugu zangu na mie...sijui huko ulaya nako lazima wasikilize radio one au ni mbwembwe tu tujue marehemu yuko matawi....ila buji kifi ndo nini?
umeona eeeeeeeh yani ww acha tu
Hiyo tisa...........kumi kwenye historia ya marehemu........... we acha..............
I dont mean to segregate,lakini Wachaga wanataja hadi vyeti vya mahudhurio (certificates of attendance) za semina, kozi, kongamano na workshop katika historia fupi ya marehemu..huh!
Umeshawahi kusikia historia ya marehemu wa kihaya................ utajibeba........... HISTORIA imejaaa vyuo vikuu vya primary school............... historia yote NSHOMILE tupu............mweeeeeeehI dont mean to segregate,lakini Wachaga wanataja hadi vyeti vya mahudhurio (certificates of attendance) za semina, kozi, kongamano na workshop katika historia fupi ya marehemu..huh!
Si unajua tena "mtajuaje kuwa kuna ndg,UGHAIBUNI" akina siye tunajumuishwa nanukuu ile sauti ya yule mdada... "pamoja na ndugu na jamaa popote pale walipooooo"