Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Familia ya Mama mchungaji Mrs. Dr. Nanihii....
Marehemu alikuwa akifanya kazi ya utendaji mkuu na shirika la UN kitengo cha chakula na kazi kwa miaka zaidi ya ishirini....
Mipango ya mazishi inafanyika hoteli ya Kunduchi beach hotel karibu na nyumbani kwa marehemu!
Kazi ni hapo kwa wafikiwa habari...
lol!
Mnabaki kujiuliza kama ni historia ama wanamtafutia kazi marehemu! kwa kusoma C.V tih tih tih