KAMA NAWAONA VILE WALLAH

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
574
1,000
Wanajamvi Kamwene,

Yaani nimesikitika kifo cha Ruge sana
sasa kama nawaona wahaya kwa sifa zao huko msibani

Picha linaanza na tangazo la msiba pale radio one utasikia matangazo ya vifo familia ya Ruge wanatangaza kifo cha mpendwa wao kilichotokea South Africa akiwa kwenye matibabu huku akifanyiwa rufaa ya kupelekwa ughaibuni kwa ajili ya matibabu.

Taarifa zimfikie Dr.Muta aliyepo Uswisi kuelekea Ufaransa kununua vitafunwa pia vimuendee dada ake mkubwa anaeishi Canada anafanyakazi Marekani jiji la Washngton,mdogo wa marehemu aliepo uingereza kwenye masters yake ya engineering on medical and medicine mwaka nne,bila kumsahau shangazi mkubwa aliyepo denmark kwenye private mansion yake kwa mapumziko ya safari yake ya Geneva alikuwa ameenda kudraw pesa za matumizi madogo madogo kiasi cha dola za kimarekani milion mia,pia salamu hizi zmfikie Rweyemamu alie kantaba kwenye Hammer yake new model ya mwaka 2019 zero mileage kijijini alipokuwa anabebea matoke mazishi yatafnyika baada ya mwili wa marehemu kuwasili baada ya kutoka india kwenye postimotam {sijui ndo hivo} mwili utapokelewa na profesa rwechungura kutoka kwenye ndege ya FLY EMIRATES utapelekwa uwanja wa taifa kwa helcopter maalumu ya profesa Muganyizi.

Mungu ailaze mahali pema penye raha ya first class
 

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
574
1,000
unataka kuleta ujuaji sio twende kazi mi hapa ndo nyumbani afu habari za mungu ziache mana ntakuudhi na imani yako

Hahahaaa...
Wewe ni engineering au wew ni engineer???Ni sawa mm sishangai,

Kwan neno la Mungu linasema, "mshahara wa dhambi ni mauti."
Huwa sina huruma kabisa nikiona kifo knamkaribia au kimemfika mtu nisiye mjua.

Kwani wacha Mungu tutakutana mbinguni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom