matangazo ya biashara!

1, tairi general tyre toka arushaaaa Tanzaniaaaa
2. TTCL simu kwa maendeleo....
3. Idara yetu ya uhamiaji inalo jukumu kubwa sana....
4. hod hodi nipe kodray sabuni bora kwa wooote
5. nipeni nguo nifue komoaaaaaaaa,
 
oh, umenikumbusha marehemu dad RIP.
nipeni nguo nifue komoa,kwa sabuni ya komoa komoa, nipeni maji nioge komoa, nipeni vyombo nioshe. . . .
 
Back
Top Bottom