La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 344
Miaka yooote hiyo hamkulijua hilo la kuwa mnashirikishwa kwenye ibada, Je, umeihoji imani yako !? Iweje Imani yako ishindwe kulijua hili ?
Wakati huo huo, kila chakula sasa kinasilimishwa kwa kugongwa 'Halal' Food ! Mabenki nayo yanafanya ibada kwa kuweka 'Islaamic Sharia Banking'
Miaka yooote hiyo hamkulijua hilo la kuwa mnashirikishwa kwenye ibada, Je, umeihoji imani yako !? Iweje Imani yako ishindwe kulijua hili ?
Wakati huo huo, kila chakula sasa kinasilimishwa kwa kugongwa 'Halal' Food ! Mabenki nayo yanafanya ibada kwa kuweka 'Islaamic Sharia Banking'
Inaelekea miongozi mwa kazi ngumu kabisa ni kumuelewesha muislamu mpaka akaelewa, tunachopinga hapani kuzuiwa kwa mtu kufanya jambo ili afanye muislamu tu kwa kuwa kwao ni ibada, kama kuongea kwa muislamu ni ibada, basi wengine tunazuiwa kuongea aongee mwislamu tu kama wanavyotaka iwe kwenye kuchinja, sidhani kama umenielewa.
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.
Unamaanisha nini mkuu?ukishajua ngoma unayoicheza inapigwa wapi na kwanini basi utaamua ucheze au uache maana si yako.
ndivyo mchungaji wako alivyokufundisha?nonsense
Quran haiwezi ongelea ukristo kwasababu si dini na wala sio imani sahihi ila inatambua uwepo wa imani hii isiyosahihi...Kisha tofautisha hii biblia alikuja nacho mtume wako paulo lkn INJILI alikuja nayo mtume wetu Issa mwana waMariam.<br />By Azizi gunda<br />
Hakna andko linalo waruhsu!
<br />
kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tamaa na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Omulangi I am a christian, six days a week never miss mass unless I am on Safari; frankly speaking, I dont know what Christians are fighting for. This Islamic practice has been there since colonial era and there was no quarrel, why now?Katika misiba ya watumishi wa Mungu Mch Mathayo Kachira Buselesele na Askofu Thomas Laizer Arusha matamko mawili ya mabaraza ya wakristo yaani CCT na PCT yametolewa yakiweka wazi msimamo wa jamii ya wakristo kuwa kuanzia sasa wakristo watachinja kitoweo chao. Kwa vile sasa imeonekana suala la waislamu kuchinja ni ibada yao, wakristo hawatashiriki katika ibada isiyo wahusu.
Jambo hili ni muhimu tulifikiri na kujadili mapema maana linaamua mustakabali wa jamii ya watanzania. je hotel zitakuwa labelled kama zina nyama iliyochinjwa kiislamu au kikristo? Na vipi katika sherehe za pamoja zitakuwepo buffet mbili moja ya nyama iliyochinjwa na waislamu na nyingine wakristo? Naona media zinajitahidi jambo hili lisizungumzwe wala kutangazwa maana tv zote tangu jana zinakwepa kulizungumzia. Mimi naona hii ni hatari zaidi!!! Mods naomba msiiondoe thread hii!
Hakna andko linalo waruhsu!
ahahahahaaa!Hiyo ni sababu ya Upendo tu bro usijidai! Sio mbaya na wewe ukiambulia kichwa! Shingo! Na stand nawe ukafaidi na familia yako! Sio wewe uliyekaa muda bila kula nyama UKAOTA UNAKULA NYAMA KUMBE UNATAFUNA GODORO?very nice,even harvard univerity nayo kwa sasa inafanya reserch abt islamic economy,KUCHINJA NI IBADA KWA WAISLAM NA IKITOKEA WAISLAM WAKAJUA WAMENUNUA NYAMA ISIYOCHINJWA NA MUISLAM BASI MAUAJI YATATOKEA,ME NIMESHAWAH KUWACHINJIA SANA WAKRISTO,Y HATA KUKU WANAOMBA WACHINJIWE NA JIRAN MUISLAM?
Hivi tangu lini wakristo wameanza kuwa na taratibu za kuchinja?
huu uzi wengine mnatutafutia ban! Kumbe bado kuna chekea humu?Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo. Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ng¡¯nga¡¯nia, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa😛unda, Farasi, Mbwa, Manyani nk. Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.Wewe unawaamini ?
Kwani aliyekwambia Ukristo ni mithili ya mshumaa unamulikia wengine wenyewe unaangamia nani? Yesu hakuwa na muafaka na shehetani hadi alipomshinda!Kama unaweza kunena hivi basi hukuwa na sababu ya kuwa mkristu maana ni dhahiri kuwa kwa asili wewe si mkristu. Ni mkristu wa mazoea. Kanisani unaenda lkn huelewi kwanini upo pale, siku zinakwenda. Jifunza kwa nini wewe ni mkristo na wengine wa imani nyingine.