sunda kidogo nakubali but papaa king magumashi tu,benson naye utamwita ana pesa kisa vi magari vya ajabu,,r chuga ni sifa zimejaa
Asee Arusha watu wana clean money tofauti na Dar ambako ni wizi mtupu wa kodi zetu
Asee Arusha watu wana clean money tofauti na Dar ambako ni wizi mtupu wa kodi zetu
Noted......Lol!!kamwe usimdhihaki mtu usiyemjua....
am just saying
Tatizo la vijana wa Arusha wakipewa bia na nyama choma tu wanawaita watu bilionea. Labda niulize Arusha kuna matajiri wa ngapi wenye viwanda.
hahahahaha,,,,,,hata hao wa arusha na dar ni wa mikoa mingine;xi wakurya tunakula deals mza,,,
vicfish ni ya mzungu anaitwa john ndio amemuo yule mama wa kihindi,zee na kumuachia aiendeshe so watu wengi hufikiri ni ya muhindi hata watoto wake ni wazungu,wana toto lao moja la mwisho linatutesa sana huku na hammer h2 yake,na bado wanaishi pale capri point,
lema still yupo rock city,siku hizi wanakula hela zetu kwa kutumia villa park yao,,daymmn last time i saw nancy ilikuwa around early 2000 alikuwa chuo usa,siku hizi wana katoto kao ka yule lema mkubwa kanaitwa nectar ni mwisho,mtoto kama malaika vile,,,,
welcome mza tule bata na kutafuta mbumba shida uchawi mwingi huku,,,
Wamjua Mathias? Ana hela kuliko kuliko huyo Bakhresa wenu mchungu kama kitasa. Matajiri ni pamoja na kusaidia jamii.Bakharesa ni kitasa.
Vick Vish ni ya wahindi wewe hujui kitu, mwenye Vick Vish ni mjombo wake na Murtaza ambaye ni mkurugezi huko Mwanza hawa ndiyo wenye bahari beach Dar, ni wahindi wa Zenji.
c.t.u unamjua mbongo mwenye share pale mwadui,jamaa anaitwa phantom ni mhindi si mchezo,kuna jamaa mmoja nampata alikuwa anapiga deals za pamba contract zina faida ya 4-15 billion na alikuwa mtu wa kawaida kwa wale majogoo wenyewe sema alisha pass away,,r.i.p my bro m****ye,,,
alafu 2008 kuna mnyatuzu mmoja wa bariadi alioa binti wa std 7 kwa ng'ombe 200 walitolewa live na hii kesi ilivuma sana sema jamaa aliizimisha,,,,
shinyanga pana pesa ka unafanya risky deals,,
Ha haaa kwani kiwanda ndio kipimo cha utajiri. achana na kitu real estate bana
Huwezi linganisha miaka 39 ya Nyaga au Sambeke kwa Mkono 89 Funguka hawa watoto wamepata kwa akili yao si ya kushikiliwa na wazazi na angalia Miaka na ujue kuna kuzeeka pambanisha na kina Mosha au Riz 1 ambao nao wamerithiKwa wanaomfahamu marehemu Bob zile mali hakuzimung'unya??
parking zote za dar zikiwa chini yako mkwanja unaingia kwako
tukuite nani masikini?
viwanda vinaingiza pesa kuliko real estates
kwani viwanda ambavyo vinatengeneza consumer goods vinadhalisha kila siku
na kila siku people they need to buy sio kama real estates
chukulia mfano wewe
nyumba unalipa kama sio mwisho wa mwezi basi baada ya miezi sita au mwaka
ila jiulize mafuta ya kupikia unanunua kila baada ya muda gani
kuna mwingine atanunua mafuta ya kupikia hayo hayo unayotumia wewe anakaa anakaa kwenye nyumba yake
kuna mwingine atanunua mafuta ya kupikia hayo hayo unayotumia wewe ila anakaa kwa mama yake, mume wake
so viwanda ndio mpango mzima mkuu