Matajiri siku zote humchagua kiongozi dhaifu ili wawe huru wafanye watakavyo

hiyo ni imani na dhana potofu kwa watu wepesi wa kubebwa ufala wa kifikra na wajanja :1Head:
Huwa unajiona mjanja sana wakati upo hapo kwa ajili ya kutetea tumbo lako,ukisoma hata vitabu vya historia za tawala za huko nyuma nazungumzia miaka 600 iliyopita utalijua hilo,usizani kinachotokea ni bahati mbaya bali kilishapangwa na watu wameshapanga miaka 20 mbele utatawaliwa na nani?
Magufuri alijikuta kaingia kwenye Urais kwa bahati mbaya na ndiyo maana Matajiri halikuwa chaguo lao hawakufurahi na akaishia kufa kinyonge ingawa aliwatia magerezani na wengine kukimbia
Lakini haohao mama akawatoa na kuwafanya marafiki zake hiyo ni system ya kikweta iliyomuweka mama dhaifu ili waendele kufaidi mema ya inchi,ukionekana unawaamsha watu kama Tundu lissu unaonekana adui wao kama tunavyoona watu wanatekwa na kupotezwa ukitaka kuwa salama wewe wasifie
 
Sasa Dunia ipi inaendekeza Maskini? Ili upate nini?
 
Gentleman,
ikiwa unasema mimi ni mjanja basi lazima wewe utakua mjinga, right?

huenda ndio maana unaendekeza porojo na uzushi nonsense kama huo :1Head:
 
Watawala wanapenda wote tuwe wajinga kama wewe,lakini heli uwe mjinga hujui kitu kuliko kuwa mwelevu unalipwa ili kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom