Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

... basi kweli kwenye majuha wewe ndio juha wa mwisho.
hilo umeshalisema, panua kidogo wigo wako wa matusi. Ukweli huuma, unakuja na vi concept vyako vya "hot button" issues za nchi nyingine halafu mtu anakuja ku spoil the orgy of falsehood kwa kueleza ukweli, kwamba issues hizo hazileti political split Tanzania, lazima uchukie, halafu kama uwezo wako wa kutegemea clutches za emotions basi duu, upeo wako unakuwa exposed.
 
hilo umeshalisema, panua kidogo wigo wako wa matusi. Ukweli huuma, unakuja na vi concept vyako vya "hot button" issues za nchi nyingine halafu mtu anakuja ku spoil the orgy of falsehood kwa kueleza ukweli, lazima uchukie, halafu kama uwezo wako wa kutegemea clutches za emotions basi duu, upeo wako unakuwa exposed.

Yaani katika jibu langu umeona kipande hicho tu ulichonukuu eeeh....nilijua tu maana huna hoja za kujibu yale mengine.

And stop flattering yourself. Eti ume spoil falsehood sijui ya nini. Hujaeleza ukweli wowote. Sana sana wewe ndio umeji expose ujinga wako kwa kudai eti 'irrelevant foreign' issues wakati mambo yapo hapa hapa nchini.

Huja spoil chochote na ukweli unabakia kuwa hayo mambo ya u$enge, utoaji mimba, adhabu ya kifo, n.k. ni hot button issues popote pale duniani. Juzi juzi tu hapa tumeona wale jamaa wa Malawi (wale magay) walivyofanyiwa. Uganda na kwenyewe walitaka kutunga sheria (kama sikosei) ya kupiga marufuku ugay hadi wakakoromewa na Obama.

Utoaji mimba na wenyewe ndio usiseme kabisa.....jamii imegawanyika.

Sasa kwa vile tu haya dominate kwenye majadiliano ya kampeni za kisiasa haina maana ya kwamba sio hot button.

Na kukuweka sawa tu ni kwamba nimesema mimi ningependa kujua misimamo ya wagombea kuhusu hayo masuala. Wewe kama hupendi basi usilazimishe wenzio wawe kama wewe.

Haya endelea kujifurahisha eti ume spoil sijui orgy sijui nini mwenyewe...unajua mwenyewe.
 
aa.

Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?

Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?

Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kung’ang’ania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?

Rais hachaguliwi kwa imani yake bali uelewa wake. Anaongozwa nakatiba ambayo ameapa kuilinda, kama anajua hataweza kuitetea katiba dhidi ya imani yake hafai kugombea nafasi hiyo. Wagombea wote wana imani zao hata kama si wa umini wa dini lakini kipo wanachokiami, kuitwa padri au sheikh hakuthibitishi imani ya mtu,kwani wapo wengi tu hawana daraja lakini ni waumini wazuri, vipi wakigombea tutajuaje ukali wa imani zao?. Kama amir jeshi, kiongozi ataongozwa na katiba, katiba ile ile inayowaongoza askari wenye imani tofauti lakini linapofika suala la utaifa ni katiba na si imani.

Sina hakika ni mafanikio gani unayoongelea, ukweli ni kuwa suala hili serikali imesuasua sana hadi kuwekwa hadharani na mwandishi wa bbc, labda mwandishi huyo ndiye mwenye mafanikio zaidi,maana hata kesi zilizopo mahakamani sijui ni kasi gani inaendelea.Kuhusu kunyonga au kutokunyonga muuaji wa albino,hukumu ikitolewa,katiba inampa Rais ''loophole'' ya kutoa uamuzi, hapa tatizo si imani ya kidini ya rais,ni haki yake aliyopewa na katiba,kwahiyo maamuzi yoyote hata kama yatafungamana na imani yake, bado yana baraka za kikatiba.

Hatujui kwenye hamaki alitaharuki nini, lakini tufikiri kidogo kama alikuwa anatetea masilahi ya taifa na wenzake wanatetea maslahi ya watu wachache wanaoifilisi nchi, je hii haitoshi ku-justify hamaki kwa mtu makini? mfano, unaposema fedha bilioni 150 zimetafunwa, wenzako wakasema ni vijisenti, hii haitosho kuleta hamaki na wenzako wakaitumia kama udhaifu!
 
Juzi juzi tu hapa tumeona wale jamaa wa Malawi (wale magay) walivyofanyiwa. Uganda na kwenyewe walitaka kutunga sheria (kama sikosei) ya kupiga marufuku ugay hadi wakakoromewa na Obama.
Naongelea Tanzania!

Unaona unavyoleta unreal "hot button" issues za kwingine? Uganda na Malawi kuwa na controversy hizo ni irrelevant hapa Tanzania. Kujaribu kulazimisha siasa za kwingine Tanzania ni kulimbuka.

Umeweka ki definition cha "hot button" issue ambacho kimekufunga, kimesema swala inabidi lisababishe political divide, we hata huelewi, unang'ang'ania ni jambo lolote ililotapakaa. Ujambazi nao "hot button"?

Tanzania hakuna mrengo wa siasa unaotetea wa$enge, hakuna mjadala kuhusu kutoa mimba, it is settled regime of the law and general sentiment that those practices are eschewed across the spectrum.

Hizo political divide ni foreign issues kwa Tanzania. Unaweza kuwa na ndoa za mahanisi zimetapakaa Tanzania, lakini controversy kuhusu uhalali wake ni foreign issues kwa Tanzania.
 
hilo umeshalisema, panua kidogo wigo wako wa matusi. Ukweli huuma, unakuja na vi concept vyako vya "hot button" issues za nchi nyingine halafu mtu anakuja ku spoil the orgy of falsehood kwa kueleza ukweli, kwamba issues hizo hazileti political split Tanzania, lazima uchukie, halafu kama uwezo wako wa kutegemea clutches za emotions basi duu, upeo wako unakuwa exposed.

Taso
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Sat Jun 2010
Posts 201
Thanks : 5
Thanked 48 Times in 33 Posts
Rep Power21
Wee Tasso unamchezea NN! Shauri yako sisi ngoja tuone ligi itakakakoishia. Huwezi kumshinda NN. Nakutahadharisha maana najua wewe ni mgeni hapa JF hujui mengi.

NN huwa si msemaji sana. Lakini mchango wake mdogo huwa na kitu ndani. Utabishana naye bure hapa hadi kesho.

On the other side na mimi nakubaliana na NN kwamba masuala mnayobishania si foreign issues kwa sababu karibu yote yapo hata hapa sasa.
 
Wee Tasso unamchezea NN! Shauri yako... najua wewe ni mgeni hapa JF hujui mengi.
Hata kama nimekuja hapa juzi, hapa ni cha mtoto hapa, sio forum la kwanza mimi kujadili issues. Jamvi limejaa mada za "NATAFUTA VIDONGE VYA KUONGEZA NYEGE" ndio forum la kuogopa mtu hilo?

Nimwogope mtu ambae hata hajui maana ya "hot button" issues?

Nimwogope mtu anaetumia clutches za matusi ku discuss na mimi?

Nyinyi ndio anawatisha tisha na vi false issues ambavyo havi apply Tanzania, na vi gutter culture vya kwenye ma projects uhamishoni ndio wa kunitisha mimi huyu?

Wewe unamfagilia kwa sababu na wewe huelewi. Kitu kama hakijaleta political divide hakiwezi kuwa "hot button." Hizo political split over homosexuality ni foreign controversies.

Sema unataka kusikia mgombea anasema nini, lakini usisema ni "hot button" issue.
 
Hayo ndio maswali ya mtanzania wa kawaida kama mimi katika nyakati hizi za uchaguzi. Utakuja gundua umuhimu wa mimi kuuliza maswali haya marahisi muda si mrefu. naomba uvumilie kidogo.

Haya ndugu Mchambuzi, nitavumilia na kusubiria... In the meantime, ninadukuduku la kusoma maswali yako kwa CUF na CCM. Shukrani.
 
Hata kama nimekuja hapa juzi, hapa ni cha mtoto hapa, sio forum la kwanza mimi kujadili issues. Jamvi limejaa mada za "NATAFUTA VIDONGE VYA KUONGEZA NYEGE" ndio forum la kuogopa mtu hilo?

.

ah wapi, inabidi wafute posti zangu kuni neutralize

ninachokosea mimi ni kwamba siangalii nani nadahili nae, invisible mwenyewe akichemka huwa nam call out, inabidi ani muzzle

yuko radhi jamvi lijae discusion za "natafuta kidonge cha kuongeza nyege" kuliko irreverent political speech ya Taso


Invisible,

Yani unafuta mabandiko yangu mengi halafu unaacha ma topiki kama "NATAFUTA KIDONGE CHA KUONGEZA NYEGE" yamepamba front pages za jamvi lako. Hiyo busara kweli?

Kama watu wanashindwa ku deal na comments zangu wanaishia kuchafua jamvi na kutukana ovyo hilo si kosa langu. Ni weakness ya members wa jamvi lako, futa matusi yao opinion yangu iache, acha wafundishwe. Acha wakutane na angle mpya za kuangalia vitu, Tanzania ilikuwa imefungwa peo kwa muda mrefu wa kudumisha fikra za mtu mmoja, acha wafunguke, acha wakikosoa serikali nao wakosolewe, acha wasahihishwe viswahili vibovu, acha mafundi wa computer wakikosea nao wakosolewe, acha wajue matumizi ya sources bila plagiarism, acha wakutane na watu wasio reverent.

Acha wakue!

Una muzzle political speech? That should be protected religiously, especially if sijatishia kupindua serikali wala kudhuru mtu. Dunia hailekei kwenye muzzling opinion siku hizi, hayo yamebaki North Korea na Libya huko, for the most part mi dikteta ya opinion ilishapitwa na wakati. Unaogopa post za Taso?

Taso,

Itakuwa vyema sana kutuwekea links ili kuona ukweli wa huo mtakapao wa threads zenye vichwa vya habari hapa JF kama unavyodai hapo juu. Else, this is nothing but an exaggerated and manipulative drive to smear JF. To whose interest or whether to simply serve a self-conniving ego, I don't know... but the pattern is clear!
 
Naongelea Tanzania!

Unaona unavyoleta unreal "hot button" issues za kwingine? Uganda na Malawi kuwa na controversy hizo ni irrelevant hapa Tanzania. Kujaribu kulazimisha siasa za kwingine Tanzania ni kulimbuka.

Nimelazimisha wapi? Wewe nawe bana kwa kupindisha mambo tu hujambo. Kutolea mfano hizo nchi ndio unakuita kulazimisha? Get outta here with that nonsense.

Umeweka ki definition cha "hot button" issue ambacho kimekufunga, kimesema swala inabidi lisababishe political divide, we hata huelewi, unang'ang'ania ni jambo lolote ililotapakaa. Ujambazi nao "hot button"?

Eti ki definition...unapeeenda mwenyewe kuongea kwa madharau. Nadhani kunakufanya ujisikie vizuri sana ndani mwako. Haya pata "ki definition" kingine kutoka M-W: "Hot button: : an emotional and usually controversial issue or concern that triggers immediate intense reaction"

Tanzania hakuna mrengo wa siasa unaotetea wa$enge, hakuna mjadala kuhusu kutoa mimba, it is settled regime of the law and general sentiment that those practices are eschewed across the spectrum.

Whether your claim is true or false, I am still interested to know where the candidates stand on those hot button issues. Yes, hot button issues.

Hizo political divide ni foreign issues kwa Tanzania. Unaweza kuwa na ndoa za mahanisi zimetapakaa Tanzania, lakini controversy kuhusu uhalali wake ni foreign issues kwa Tanzania.

Hueleweki kabisa!! Jifunze kujenga hoja kwa kutumia mantiki. Overall you've talked loud but said nothing!!
 
Taso,

Itakuwa vyema sana kutuwekea links ili kuona ukweli wa huo mtakapao wa threads zenye vichwa vya habari hapa JF kama unavyodai hapo juu. Else, this is nothing but an exaggerated and manipulative drive to smear JF. To whose interest or whether to simply serve a self-conniving ego, I don't know... but the pattern is clear!
Kichwa yake ilishapata shida. Achana naye hana hoja. Ndio hao hao aina ya malaria Sugu na yeye anaingia kwenye ignore list
 
quote_icon.png
Originally Posted by Nyani Ngabu
Whether they are in the conversation or not, they are 'hot button issues' because they are controversial, and are bound to trigger AN intense and emotional reaction from people.

Mzee Ngabu;
Looks like your statement was intended to read as follows, in order for you to convey the proper meaning to the auudience:
Whether they are in a conversation or not, there are 'hot button issues' that/which are controversial, bound to trigger AN intense emotional reaction from people.
Makanyaga, huyo NN ndiye mwalimu wetu wa lugha tunayemtegemea humu JF akisaidiana na asst. lecture prof. Kiranga.
 
Makanyaga, huyo NN ndiye mwalimu wetu wa lugha tunayemtegemea humu JF akisaidiana na asst. lecture prof. Kiranga.

Huyo Makanyaga wako mchemfu kupita ilivyo kawaida. Hakuna kosa lolote ktk nilichoandika mimi. Karudia kile kile nilichosema mimi.

Ningemwona kweli mtaalam endapo angetoa sababu za kina kwa nini nilivyoandika mimi ni sivyo na kwa nini masahihisho yake ndio sahihi. Lakini je, kafanya hivyo? Hell to heeellll noooooo
 
Dr Wilbrod Peter Slaa

About Me

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Tanzania Society for Blind Managing Director 1992 1998 Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985 1991 Diocese of Mbulu Development Director 1982 1985 Diocese of Mbulu Vicar General 1982 1985 Diocese of Mbulu Development Director 1977 1979 Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977 1991 -------------------------------------------------------------------------------- POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To CHADEMA Principal Secretary 2002 CHADEMA Vice Chairman 1998 2002 CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 Todate CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 - Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch(Rome) 1980 1982 Youth Union -TANU Secretary 1974 1977 TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977 [ Retrieved on 13/7/2006 - Parliament of Tanzania ]

Hiyo ni profile ya Dr.Slaa kama inavyosomeka katika FOS blog.
Are we talking about heading the country au tunataniana?
Ngoja tujadili.
 
Naongelea hiyo profile ndugu,upungufu wake ili kuwa raisi wa nchi and 2nd hakuna mtu anaandika mambo negative katika profile yake.Naona unatoka nje ya mjadala.
 
Back
Top Bottom