Mzee Ngabu;
Looks like your statement was intended to read as follows, in order for you to convey the proper meaning to the auudience:
Whether they are in a conversation or not, there are 'hot button issues' that/which are controversial, bound to trigger AN intense emotional reaction from people.
umesema unataka kuuliza viongozi wa CUF,CCM na CHADEMA,,mbona maswali yote umeelekekeza kwa kumgombea mmoja,,inavyoonekana umetumia ujanja ili kumnadi unayemshabikia,kwamba akufukuzaye hakwambii toka,,ni njia tu ili kumkandamiza mgombea fulani,,,nyerere alisema viongozi hawatakiwi kutumia mawaidha ya dini zao au ushauri wa wake zao kuiongoza nchi bali kiongozi ataingoza nchi kwa kutumia SHERIA,,Ndivyo atakavyofanya DR SLAA.Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kungangania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?
Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.
Mi nilicheki nikasema ngoja Ngabu mwenyewe aje.....huwezi jua labda jamaa kaamua kumchokoza tu!! si unajua JF watu wanavyopenda ligi:violin:Mazee, hayo juu uliyoandika kusahihisha ni bonge la mchapio. Ngabu was right!
Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?

Naona una wiki moja tu tangu umejiunga. Kwanza karibu jukwaani. Pili kabla hujaendelea kuweka post nyingine jukwaani, rudi kajifunze kwanza namna ya kutoa hoja na kuipangilia kama great thinker. Ulichokiandika hapa wewe mwenyewe unakielewa? Una hoja gani hapo? Inaelekea wewe ni mkurupukaji, na una visa vyako tu, huwezi kukurupuka tu na kuanza kusema fulani ni tapeli bila kusema amemtapeli nani? Huwezi kusema fulani hafai au anafaa bila kusema ni kwanini? Wala huwezi kuwashawishi watu kwamba Dr Slaa hafai bila kutoa sababu za msingi. Tafadhari rudi shule kajifunze namna ya kutoa hoja.
nashukuru jile kwa kuliona hilo na kuliweka wazi,,watu wanafiki kama hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.halafu afadhali ingekuwa ni post kwa wasio na akili timamu,,sisi tunaakili timamu,,atatupakaje mafuta kwa mgongo wa chupa,,hata kama ni maswali kwa Dr slaa,,hii inahusika vipi na kumsifia kikwete..tafadhali kaka mtoa post hii,sisi watanzania wa sasa hatutaki kurudishwa nyuma,,tunataka kusonga mbele,,kama unataka kurudi nyuma,,naomba chukua hatua wewe peke yako na umsimshawishi mwingine kwa maneno hayo matupu yasiyokuwa na tija uende ukatumbukie shimoni peke yako..Mwandishi umenifurahisha sana kwa sababu kajaribu kuandika kideini zaidi japo unajifanya umejificha lakini ulipojificha ni tranparent kwa hiyo werevu tumekuona..........nasikitika huwezi kumuuliza dr.slaa atashughulikia vp mafisadi na rushwa kwa ujumla kwani unajua alivyo kwamba hahitaji swali maana jibu liko wazi....ila kwa ajili ya interest zako na za ccm na mafisadi ndiyo maana umejaribu kuuliza utumbo zaidi
safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,,hata mimi nakusaport mkubwa.Mijitu mingine bwana, hata shule za kata hawatoi watu kama hawa! somebody come from no where anaanza kuropoka kama mlevi wa matapu tapu. Anyway, before you post your thread, kumbuka kuna watu wanakazi zao hapa, you waste our time reading your nonesense. Hatukatai kuwa wewe ni ccm lakini jaribu kutoa facts ambazo utatushawishi tukuone you are really a member of JF.
Inabidi tuanze kuwafanyia interview watu kama ninyi.
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
.
mimi ninatoa maoni yangu,,hivi kwa nini watu wenye mawazo finyu wasipelekwe kwenye vyombo vya sheria,,maana mawazo siku zote ndio msingi wa kila kitendo,,unajua mawazo hayo ndiyo yanasababisha matendo ya kifisadi?? nashukuru wakuu kwa majibu yenu yaliyotulia,,siku zote huwa nawaambia rafiki zangu,,jukwaa hili limejaa vichwa,,GREAT THINKERS kwelikweli,,,usije kichwa kichwa hapa,,,nakuhakikishia huwezi kumdanganya mtu aliyekuzidi uwezo wa kufikiri hata siku moja,,,FIKIRI KABLA YA KUTENDA,,THINK NOT ONLY TWICE BUT SO MANY TIMES.NDUGU WANA JF.
Huyu jamaa tusimpuuze hata kidogo, tena mawazo kama haya tuyapokee, maana sisi Great thinkers ni watanzania na hawa wenzetu ni wale WADANGANYIKA
HAYA ndo mawazo yanayotupeleka katika wimbi la umasikini na ufisadi uliokithiri leo hii. Pia ndiyo mawazo ya watu wengi wanaolala njaa lakini hawajui kwanini.
Kifupi mtu kama huyu anahitaji kueleimishwa tu, TUNAHITAJI MABADILIKO., TUENDAKO NI KWA WACHACHE MNO!!!!!
Najaribu kupita mitaani na kufuatilia watu mbalimbali naona kuwa mawazo yao bado tuko mbali na maendeleo ya kweli kwa kukumbatia sisiem inayowakumbatia wacheche hasa watu wa nje kuliko sisi wazawa.
Tuwaeleze kuwa Slaa hajashindwa kuendesah Jimbo, Kweza kwa 100%, na anaendela mbele!!!!!!!
God Bless Dr, slaa mtanzania wa kweli kama Mwalimu aliyebaki katika wachache
sasa nimejua kwa nini wachina wananyonga mafisadi,,yaani mkuu umenikera sana..rafiki tafadhali usirudie tena,,badirika rafiki yangu,,sisi watanzania tunazidi kuelimika sasa hivi,,sio wajinga kama unavyotufikiria.Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kung'ang'ania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?
Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.
sasa nimejua kwa nini wachina wananyonga mafisadi,,yaani mkuu umenikera sana..rafiki tafadhali usirudie tena,,badirika rafiki yangu,,sisi watanzania tunazidi kuelimika sasa hivi,,sio wajinga kama unavyotufikiria.
asante.
the auudience:
Mazee, hayo juu uliyoandika kusahihisha ni bonge la mchapio. Ngabu was right!
Mchambuzi,
Pili, naona kutoweka kwako kumekufanya upoteze ule u-sharpness nilio utegemea kutoka kwako. Nasema hivyo kwani naona maswali yako yako very basic, na yanaweza kujibika kwa majibu ambayo ungependa wewe mwenyewe kuyasikia. They are such leading questions, even Mh. Kikwete would answer them without a tele-prompter, au kwenye mdahalo live!
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kungangania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?
Kwa definition yako hiyo hiyoya wiki, ufisadi nao ukiwa "hot button" issue, nani anafurahia na kutetea ufisadi Tanzania? hahhahahahahhaahahaaa
Kuwa controversial maana yake nini?yametapakaa haimaanishi yako controversial. Kuleta issues za nchi nyingine hapa kwetu na kuziita "hot button" ni kulimbuka kwa kizazi kilichohama nchi. The real issues need not be framed with concepts borrowed from other countries.
Naona una hamu kweli ya kuchekacheka....I wonder why?hahahahahaha....
Malarkey......sasa watafunga thread hii sasa hivi...you see, nikiwa kwenye discussion often times post/thread zinafutwa maana mtu anahitaji clutches za lugha kama hizo kuni address. Jitahidi kidogo, utakomaa.