Huo u-hot button ndio irrelevant kwa jamii ya Tanzania. Kutapakaa hakufanyi kitu kuwa controversial.kwa hiyo tumeshakubaliana kama haya masuala si 'irrelevant foreign' issues madhali yametapakaa kwenye jamii ya Tanzania.
ya kitandani hayaongelewi Tanzania, hakuna aliyeandika ilani ya kuhalalisha u$enge au kutoa mimba. Yanaweza kuwa ni tatizo kwako, lakini kama jamii, hayako kwenye mazungumzo.unataka kunambia kwa sababu kuna matatizo mengi ya kwenye meza ya chakula, ya kitandani yanakosa hadhi ya kuwa ni matatizo pia?
Bado kwa Tanzania haya sio "hot button" issues. Hakuna mrengo wa kisiasa unaosimamia haki yake ya kutoa mimba.ushakaa ukajiuliza wanafunzi wangapi ambao sheria inawazuwia kushiriki kwenye mambo ya kitandani wanatoa mimba? ushajiuliza wangapi wanatoa mimba kwa madaktari wa vichochoroni bila ya familia zao kujua?
Kama kitu hakijadiliwi, hakiwezi kuwa "hot button" issue.haya masuala yataendelea kuwa hot button issues kwa sababu yakijadiliwa yataibua hisia kubwa kwa wananchi.
Whether they are in the conversation or not, they are 'hot button issues' because they are controversial, and are bound to trigger AN intense and emotional reaction from people.
......... Mchambuzi ni vema ujue kuwa Urasi ni Taasisi, tofauti ni kuwa Rais ndiye anayejulikana zaid lakini haina maana kuwa Rais anaweza kukurupuka tu na kuamua kufanya/kutekeleza jambo kwa mujibu wa Sheria na si nje ya Sheria za Nchi. Kwa hiyo kwa kufanya yaliyo ndani ya Katiba na Sheria, Rais hatahukumiwa maana hafanyi mambo kwamujibu wa Imani yake bali Sheria za nchi.
Mchambuzi umeniboa na kunihuzunisha sana na I can conclude that you have come back with a specia mission and not new vision.
Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?
Mpaka siku MS anatoka sero,atakuta kuna wenye 'vipaji' kibao washamfunika...
mh!!??Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kungangania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?
Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.