Maswali yanayonitatanisha..........

Maswali yanayonitatanisha..........

ha ha haaa
Mbona wote ni weusi imekuwaje wewe uwe mweupe? ha haaaa
Copy: Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
basi umejikalia mwenyewe sehemu, restraunt au bar na mkaka unaefanya nae kazi, mara washikaji zake wanapita hawakufahamu, ghafla unashaangaa wanaanza kukuita shemeji khaaaaa, huwa hata sipati majibu kwa nini mtu aanze kukuita majina ya ajabu ajabu tu
 
Kumbe sikuile tulivyokuwa lunch washkaji zangu wakakusalimia (shemeji) ulimaind eennhh.....!!
 
Hapo anataka ajue kama umeolewa/umeoa ukisema huna anaanza kurusha saundi au kujigonga

Basi utapigiwa simu wewe..au misele mtaani kwako kila siku....Cha msingi ni ukauzu tu..."hajambo una salamu zake nimpelekee?"
 
basi umejikalia mwenyewe sehemu, restraunt au bar na mkaka unaefanya nae kazi, mara washikaji zake wanapita hawakufahamu, ghafla unashaangaa wanaanza kukuita shemeji khaaaaa, huwa hata sipati majibu kwa nini mtu aanze kukuita majina ya ajabu ajabu tu

Yaan hata uongozane na mtu wa jinsia tofauti, wanahisi ni bwanaako. Hawajui kama una kaka na hata marafiki wa jinsia tofauti....

Unalisikia limtu linaanza "siku ile nilikuona somewhere umepose na shemeji" mxshiiiiiiiuuuuuuu.............
 
Unakutana na mtu anakuuliza.....hivi bado upo.....?.....swali gani hili.....kama nimekufa si ungesikia.......au labda kazoea kukuona mara nyingi unapokuwa na shughuli zako unapiga misele na gari....siku ya siku akikutana na wewe ukitembea....unasikia....alaaah leo mbona upo kwa miguu....jamani....mtu umezaliwa na gari......?
Au unamuuliza mtu.....kitu kama.....kesho utakwenda....anakujibu....nani mimi....?......aggghh......inachosha sana.....
HEBU ONGEZEA MASWALI YANAYOKUTATANISHA..........

mjibu kwani ukiwa na gari miguu unaiachaga nyumbani??
 
mjibu kwani ukiwa na gari miguu unaiachaga nyumbani??

leo nimekutana na mmoja.....ananiuliza.....vipi....mbona hatuonani....khaaa!.....mtu sina mazoea nae na hata kuongea ni kwa nadra.......watu wengine bana......
 
leo nimekutana na mmoja.....ananiuliza.....vipi....mbona hatuonani....khaaa!.....mtu sina mazoea nae na hata kuongea ni kwa nadra.......watu wengine bana......

hahahaha pole ungemuuliza muonane kwa lipi?? mi kuna mmoja aliniuliza mbona umepotea sana... nikabaki namshangaa sababu sijawahi kuona hata miss call yake
 
Back
Top Bottom