Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,430
- 139,489
chek ulivyo liongo(ndo utaratibu wa CCM),huyu Muhongo,Maswi na Werema wamekiuka maadili gani,Wanachunguzwa kwa uvunjaji wa maadili ya uongozi wa umma.Mfano Waziri Tibaijuka aliomba msaada kwa ajili ya Shule halafu hela ikawekwa kwenye akaunti yake binafsi badala ya akaunti ya shule.Kama kiongozi alitakiwa ahakikishe pesa ile inaenda akaunti ya shule.
Sasa wengine wanafuatiliwa kwa misingi ya namna hiyo
Kwani mimi ndio bosi wa Werema mpaka niwe na barua ya yeye kujiuzulu?,taarifa za kuchafua hali ya hewa anakodai AG aliyejiuzu zimenukuliwa na vyombo vya habari.
Labda nikuulize hivi, Kwanini Werema kajiuzulu?, je kujiuzulu na kustaafu ni vitu viwili vinavyo fanana?
Asante
Mtu professional ni mtu anaeweza kujua kunakukosa na kuwa tayari kujirekebisha.Kukosa ni sehemu ya maisha ndo maana kwenye computer yako kuna kitufe cha DELETE,Tuna correction fluid na vifutio mbalimbali.CCM kuendelea kung'ang'ania ujinga kuwa kuwa hizi si pesa za umma na upande wa pili mkiendelea kufukuzana na wengine kujiuzuru na mkiendelea na porojo za kuendelea kufanya uchunguzi haziwasaidii maana haionekani kama you are ready to change.Hakuna mahala katika maazimio ya bunge ambapo imesema kuwa hizo ni pesa za umma. Kumbuka hilo. Kama wewe umepaona tuoneshe na sisi. La sivyo unaweza kuwa na maoni yako lakini yasiyo kweli.
Mpaka CAG aliamrsha TANESCO wafute kwenye vitabu vyao kwani hizo pesa hawana haki ya kusema zao.
Mlitaka umeme wa bure?
Naishauri serikali iongeze kodi kwenye viroba-Vinaua vijanaserikali kupitia shirika la Tanesco walikuwa walipa bili za umeme kwenye Akaunti ya IPTL mabadiliko ya Account ya kulipa bili za Tanesco ilikuwa ni kitu cha kuihusu pia sababu mkataba ulielekeza kuwa pesa zilipwe akaunti ya IPTL.Sasa kuhamisha na kuwaambia wapeleke akaunti ingine ambayo si ya IPTL ni Escrow ACCOUNT serikali ilibidi iridhie kama mmiliki wa Tanesco baada ya kukubaliana na sababu za kuhama huko.ISIJE BAADAYE KUTOKEA IPTL AKASEMA KWENYE AKAUNTI YANGU YA IPTL sioni malipo mmepeleka akaunti ambayo siijui.
Ni kama umepanga nyumba mwenye nyumba akasema pesa za kodi ziwe zinaingia akaunti inayomilikiwa na yeye na mkewe sasa baadaye akisema uingize kwenye akaunti mpya ya ESCROW lazima usiitike kienyeji itabidi uombe mkae msaini mabadiliko upya kwenye mkataba ndio maana serikali,BOT,tanesco na IPTL ilibidi wakae wote kulijadili hilo na kuwa pesa hizo zikae sehemu salama ya kuaminika kwa pande zote ambayo ni benki kuu pekee.
Mtu professional ni mtu anaeweza kujua kunakukosa na kuwa tayari kujirekebisha.Kukosa ni sehemu ya maisha ndo maana kwenye computer yako kuna kitufe cha DELETE,Tuna correction fluid na vifutio mbalimbali.CCM kuendelea kung'ang'ania ujinga kuwa kuwa hizi si pesa za umma na upande wa pili mkiendelea kufukuzana na wengine kujiuzuru na mkiendelea na porojo za kuendelea kufanya uchunguzi haziwasaidii maana haionekani kama you are ready to change.
Anayebisha kuwa pesa siyo za IPTL natilia shaka sana akili zake huenda zinashida mahala fulani.
Huo mgogoro ulihusu pesa ya IPTL,Bank ya umma iteuliwe kutunza pesa ya mtu binafsi?Mkuu haya mambo ni makubwa mno kwako-Tafuta kazi nyingine hii haikufaiBOT iliteuliwa kuzitunza pesa hizi wakati wote wa mgogoro. Zingeweza zikatunziwa kwingine.
ni za IPTL kwa hukumu ipi? account ilifungiwa pesa ziwekwe wakati ikisubiriwa muafaka kwenye mgogoro baina ya IPTL na TANESCO mgogoro umeisha?? acha kutumia akili za pongo wewe?!
Hatutumii umeme wa bure tunalipia lakini si kwa namna hii mnayojalibu kutuaminisha.Mkuu ni saidie swali hili dogo.Tageta Escrow account ilifunguliwa na nani specifically?Tanesco na IPTL au SerikaliNaona wewe ndiye uliyeng'ang'ania ujinga kwa kuamini kuwa pesa za kulipia makampuni yaliyowekeza kwenye umeme ni za umma.
Nimekuuliza, ulitaka umeme wa bure?
Are you serious au unafurahisha kijiwe!Anayebisha kuwa pesa siyo za IPTL natilia shaka sana akili zake huenda zinashida mahala fulani.
Baada ya mgogoro kuisha na kupewa pesa zetu sisi IPTL na wanahisa wenzetu PAP tukaamua kufanya sherehe kwa kuzigawa hizo pesa kwa watumishi wa umma na viongozi wa dini.Chezea IPTL wewe??????Mgogoro ulikuwa ni kati ya Tanesco na IPTL, waliolipana ni Tanesco na IPTL, maana yake waliafikiana kumaliza mgogoro, wakati wakifungua Escrow Tanesco na IPTL hawakuomba kibali cha bunge, so wakati wa kumaliza Escrow hawakupaswa kuomba kibali cha bunge, hii issue tumeipoliticize bila sababu
Mniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya Escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na Rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo Escrow yote yalikuwa ya IPTL. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na Rais kuwa mabilioni ya Escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni IPTL.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mbona mimi sijapewaBaada ya mgogoro kuisha na kupewa pesa zetu sisi IPTL na wanahisa wenzetu PAP tukaamua kufanya sherehe kwa kuzigawa hizo pesa kwa watumishi wa umma na viongozi wa dini.Chezea IPTL wewe??????
mzee tupatupa hapa hakuna kinachochunguzwa zaidi ya kuficha ushahidi, hasa uchotwaji wa fedha benki ya Stanbic ambao unamgusa JK moja kwa moja.
Mkuu wala usiwaze,sisi tulishauri vizuri sana,umiliki wa pesa hizo haukuwa certain,hivyo tukashauri badala ya kurepoti kama Assets on the face of financial statements,wai-disclose kama contigent assets kwa maana ownership yake ilikuwa bado na utata,hakuna mahali tukiposhauri ifutwe bali ihamishwe,nashangaa JK anapotosha kiasi hiki.Mtu professional ni mtu anaeweza kujua kunakukosa na kuwa tayari kujirekebisha.Kukosa ni sehemu ya maisha ndo maana kwenye computer yako kuna kitufe cha DELETE,Tuna correction fluid na vifutio mbalimbali.
Kama huna unajuwaje kilichomo au ndiyo ulikuwa unakuja na porojo na kuhororoja bila mpango. Utasutwa.
Weka hizo nukuu za vyombo vya habari na vyanzo vyake tukajisomee wenyewe. Maana kuna nyuzi humu imesema uongo kuhusu aliyoyasema Utuoh wakaweka na link, kuifata hiyo link tukakuta mambo tofauti.
Na wewe ili usionekane muongo kama Chakaza na BAK walioushadidia huo uongo, inabidi uweke hizo nukuu na chanzo tukajionee. La sivyo habari yako inakuwa ni uzushi tu.
Sioni mantiki kama mtu akiomba pesa kwa ajili ya shule yake halafu akaingiziwa kwenye akaunti yake iwe kosa.Bodi ya shule imekubali kupokea hizo fedha kutoka kwa mama Tibaijuka sasa tatizo lipo wapi.Mpaka hapo nitakapotajiwa kipengele cha Sheria ya maadili ya Mtumishi wa Umma kilichovunjwa ndio nitakubaliana na utetezi wako.Aliomba mchango wa shilingi bilioni moja na milioni mia sita kwa kusema ni kwa ajili ya shule ya BARBO badala ya msaada huo kuingia kwenye akaunti ya shule akauingiza kwenye akaunti yake binafsi.Alikiuka maadili ya kuchangisha kama kiongozi.Ilitakiwa pesa ile kimaadili iingie moja kwa moja akaunti ya shule.