Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,227
- 44,402
Best, if were are to define the events by their repercussions/ outcomes, then you must be in position to conclude that a research and a survey's difference is the same!Hii sio research, ni survey (becoz of sample size na ni swali moja tu). Lakini issue ni kwamba hata huo u-suggestive wake hautusaidii. Badala ya kuuliza kama mafisadi wapelekwe mahakamani, wangeweza hata kuuliza kama tunafikiri mafisadi wanashughulikiwa ipasavyo, au hata kama tunafikiri fedha za EPA kurudishwa sio changa la macho!
Kipima joto, ni zuga tuu ili ionekane kama opinion poll, its not, the motive behind ni kamradi ka uchagishaji hivyo vijisenti vinavyokatwa kila unapotuma majibu kwa kutumia number hiyo.Nimefuatilia maswali ambayo yanaulizwa na ITV kwa kile kinachoitwa "Kipima Joto". Maswali haya ambayo yana lengo la kupoll kujua watu wana misimamo gani juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii. Naomba nikiri kuwa hadi hivi sasa maswali haya tayari yanaashiria wanataka jibu gani (suggestive questions) kiasi kwamba ni vigumu kweli kupata mtu anayepinga au mwenye msimamo tofauti.
Pendekezo: Jaribu kuuliza maswali ambayo hayaashirii jibu mnalolitaka.
Huwezi kumuuliza mtu "Je, mauaji ya Albino yalaaniwe?" au "Unafikiri wanaokula rushwa wafikishwe mahakamani?"!
Halafu nilikuwa natafuta simu yao ili niwashirikishe mawazo yangu siku moja labda tutawachangamsha kidogo.
Hiyo ya ndiyo au siyo ipo kwenye research, ila mimi naungana na mtoa hoja,ni maswali ya aina gani hayo? ambayo tayari yamebeba jibu tayari?hilo ndo swali la kujiuliza,mi ninacho baadhi ya vyombo vyetu vya habari vinaajiri watu ambao bado ni wachangaKipimajoto ni pacha na kipimabaridi cha Ze Comedy.ZOTE NI COMEDY.
Ukitafakari utaona kuwa kipimajoto ni upuuzi mwingine unaojaza muda prime katika ITV maana hakuna mantiki yeyote kuuliza upate majibu ya NDIO, HAPANA au SIJUI halafu inaishia hapo.Toka kimeanza hatujaona matokeo ya hiyo poll ni nini.Ni afadhani wakifute tu.
Umeanzanikitaka kupost mwanzo kuhusu hili. lkn watu wangalisema malaria sugu huyo kashaanza.
Hiyo hapo Mkuu I hope watakuwa na sikio la kukusikiliza ITV/ Radio One +255 22 2775914/6