Maswali ya Kipima Joto yanaboa

I certainly agree with you,there is no more sensitivity in the questions and there now boring.!
 
Hii kitu tulishaizingumzia hapa kabla kwa kweli inaboa na hakuna idadi ya watu waliochangia tunapewa asilimia tu hata ikiwa watu 10 inaweza kugawanyika ktk majibu ya aina 3 na kupata asilimia huu ni ukosefu wa elimu tu
 
"..Soko la pamoja la Afrika Mashariki lina tija kwa taifa?..."
Afu wanawauliza dereva taxi
 
"..Soko la pamoja la Afrika Mashariki lina tija kwa taifa?..."
Afu wanawauliza dereva taxi


Heheh, hapo umewagusa, kama umegundua mara nyingi maswali haya huulizwa sehemu moja tu tena unakuta hiyo sehemu walienda kuchukua habari nyingine ambayo tayari imesharushwa kwenye news.

Useless!!!!
 
Nimefuatilia maswali ambayo yanaulizwa na ITV kwa kile kinachoitwa "Kipima Joto". Maswali haya ambayo yana lengo la kupoll kujua watu wana misimamo gani juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii. Naomba nikiri kuwa hadi hivi sasa maswali haya tayari yanaashiria wanataka jibu gani (suggestive questions) kiasi kwamba ni vigumu kweli kupata mtu anayepinga au mwenye msimamo tofauti.

Pendekezo: Jaribu kuuliza maswali ambayo hayaashirii jibu mnalolitaka.

Huwezi kumuuliza mtu "Je, mauaji ya Albino yalaaniwe?" au "Unafikiri wanaokula rushwa wafikishwe mahakamani?"!

and some are too rhetoric. Na ni naani huandaa hayo maswali?
 
KUANZISHWA KWAKE KULIKUA NA MALENGO MAZURI, labda kupitia kukosoana huku wanaweza kujifunza kitu wakaboresha zaidi, ila ulimwengu wakutafiti maswala ya jamii kwa mapana yake linapaswa kutiliwa mkazo, na kupewa surport kwa kila hatua.Naamini ipo nafasi ya ITV KUREKEBISHA HALI ILIOPO NA KUFANYA VYEMA ZAIDI BADALA YA KUWABEZA AU KUITA KUWA NI KITU CHA KIPUUZI, TUSHAURI NINI WAFANYE ILI KUBORESHA PROGRAM ILE ILI KUBORESHA USTAWI WA UMMA.
 
waajiri mtu maalum aliyeenda shule kwa ajili ya kipima joto au 'wauze' hiyo kazi kwa mshauri aliyeenda shule.
 
Hicho kipima joto kilishapoteza mwelekeo,kwani hata matokeo yake hujulikana hata kabla ya kutangazwa kutokana na staili ya uulizaji wa maswali.Ubabaishaji mkubwa ni pale tunapotangaziwa matokeo bila kutaja idadi ya Watanzania waliotoa maoni,idadi ya waliokubali,kukataa nk.Heri matokeo ya hiyo REDET yenu!
 
Kwa kweli huwa inashangaza sana,mimi nadhani wanchofanya ni mradi tu lakini realistically wanacheza tu...Sijui lengo lao ni nini hasa..
 
Tatizo lao ni kwamba wanaanzisha kitu kwa nia nzuri lakini hamna follow through plan. Kipima Joto kipo for the last 3 years. Wanatumia the same graphics, style ya maswali hadi inaboa. Hamna mabadiliko yoyote. Afadhali na TBC yao ni Live na huwa wanasoma maoni ya watu wakiendelea na taarifa ya habari. ITV ni jina tu hamna kitu watu wamewakimbia kwa sababu ya mishahara midogo na waliobaki hawajali. Kila kitu kimekuwa routine
 
Back
Top Bottom